Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mchezo wa kujadili mtu badala ya hoja ulioasisiwa na Nape (au Nahum) Nnauye,umepongezwa na CCM.Mpango huo unawalenga viongozi wa CHADEMA katika kuwajadili maisha yao binafsi kama ndoa,elimu na...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Katika ziara yako uliyoifanya siku za karibuni hapa wilaya ya Mpanda ulielezwa kwamba ukarabati wa stendi ya mjini Mpanda itawekwa lami pamoja na barabara zinazoingia maeneo ya stendi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana jukwaa kuna habari kwamba DAWASCO wameshinikizwa kutengeneza documentary ambayo itakuwa inaonyeshwa mara kwa mara kwa vituo tofauti tofati vya TV ili kupunguza nguvu kwa kile ambacho...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni vurugu tu hapa Arusha, si mapiki piki, gari za serikali, wandishi wa TBC n.k Tuko kumpokea Mhe. Lowassa ila sijui ni kwa ajili ya nini nimeunga tu msafara Nawakilisha Update...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wakili wa mlalamikiwa mbunge wa Iringa , Tundu Lisu ameshindwa kuhudhuria mahakamani hivyo , ameomba shauri hilo lisikilizwe kwa njia ya maandishi uamuzi uliokubaliwa. maandishi,Lisu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
Wakuu nimepkea meseji hii katika simu yangu: Sautesa is expecting to hold the biggest Economic Forum ever in SAUT (St. Augustine university of Tanzania) with a theme discussed and selected which...
0 Reactions
78 Replies
6K Views
Rpc wa kinondoni amepiga marufuku maandamano ya wana ubungo kudai haki ya msingi maji kisa ujenzi wa barabara ya morogoro unaoendelea! Swali inakuaje sherehe za kitaifa zinafanyika uwanja wa...
1 Reactions
97 Replies
8K Views
Mwenyekiti wa DP,Mchungaji Christopher Mtikila alishikiliwa kwa muda na kuachiwa kwa Dhamana kwa Kosa la Uchochezi wa Kidini. Kamanda wa Polisi Mkoani Rukwa amesema kwamba walimkamata Mchungaji...
3 Reactions
75 Replies
7K Views
Akiulizwa na Bwana Masako katika kipindi cha asubuhi ITV kuhusu kukamatwa kwa Lwakatare, Kova amesema kuwa tuhuma ni za Lwakatare na si ukurugenzi wake wala kwa chama chake. Najaribu...
0 Reactions
266 Replies
21K Views
  • Poll Poll
The government of Tanzania has signed an ITU ( International Telecommunication Union) internet censorship protocol in December 2012 in Dubai this is against our constitution which guarantee a...
2 Reactions
22 Replies
4K Views
  • Closed
Barabara iliyofungwa kwa Makinda haijafunguliwa Spika wa Bunge, Anna Makinda Na Joseph Zablon, Mwananchi (email the author) Posted Jumatatu,Marchi11 2013 saa 16:24 PM Manispaa ya...
1 Reactions
49 Replies
6K Views
Nimeona leo nitoe kero yangu juu ya huyu Hussein Mwinyi, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii kuhusu tabia yake ya kwenda ofisini kuanzia saa 4 asubuhi. Hivi Hussein, unaonyesha mfano gani kwa jamii...
2 Reactions
42 Replies
5K Views
Ukisoma kichwa juu,utafikiria mengi na kushangaa lakini watu husema ukishangaa ya musa.......... ,. Ukweli mbunge huyu hajawahi kanyaga makao makuu ya wilaya tangu iteuliwe na Rais kuwa wilaya...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
SIMUMUNYI MANENO LEO NIMEAMUA KUSEMA WAZI YALIYO MOYONI MWANGU Nimechoka kulia kila siku eti ksa ya watu hawa wafuatao na ukatili wao kwa wa TANZANIA 1 serikali hii ya ccm angalia inavyo wafanyia...
3 Reactions
14 Replies
2K Views
Mbunge wa Viti maalum Chadema (Kwimba) Mh Leticia Nyerere amefanya ziara ya kutembelea Ofisi za Bunge la Marekani mjini Washington DC Ijumaa 15 Machi 2013. Lengo la ziara hiyo ya Mh Leticia...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete amepokelewa na mamia ya wakazi wa Morogoro ktk ziara yake mkoani hapa. Pamoja na mambo mengine raisi atatembelea chuo cha kiislam cha...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za kuhusika kwa ikulu. Kati ya hizo alama ni kufanana kwa mateso ya Kibanda na Ulimboka. Lakini pia kupigwa kwake risasi kunafanana na namna Imran Kombe...
9 Reactions
94 Replies
9K Views
Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe kesho ataongoza maelfu ya wananchi katika uzinduzi wa Kanda ya Ziwa Mashariki. Uzinduzi huo utafanyika mjini Shinyanga ambayo ni ngome kuu ya Chadema kwa...
3 Reactions
36 Replies
3K Views
KITAIFA Na Fidelis Butahe na Raymond Kaminyoge, Mwananchi Posted Marchi16 2013 saa 24:33 AM KWA UFUPI Kuchaguliwa kwa Lowassa kuongoza kamati hiyo kunaibua upya vita kati yake na Waziri wa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Tume ya Kuratibu Maoni ya Katiba mpya iliyo chini ya Jaji Joseph Sinde Warioba,imekaribisha maombi ya wananchi wanaohitaji kuwa Wajumbe wa Mabaraza ya Katiba ya Wilaya. Tume ikatoa pia utaratibu...
0 Reactions
0 Replies
953 Views
Back
Top Bottom