Bunge la tanzania vipi?

Bunge la tanzania vipi?

obeid666

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
1,279
Reaction score
9
Wanabodi

Nimeona niulize swali ambalo majibu mazuri ni vizuri kwa kulingana na uelewa wako,Wabunge wa CHADEMA waliitwa kwa agizo la Katibu wa Bunge bwana Kashililah kwamba wanatakiwa wakahojiwe,na kamati zote zimeundwa jana kama sikosei,sasa hao wabunge walikuwa wanakwenda kuhojiwa na Kamati ya Maadili ipi?,au huyu bwana aliamua kwa kiburi chake na kwa makusudi kabisa kupindisha sheria wakati akijua kwamba hamna kamati halafu anawaandikia wakahojiwe wakati bunge lilishatoa maamuzi bila kuwasikiliza?
 
Back
Top Bottom