Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanajf, bado nashangaa kuhusu yanayotokea mke wa JK ana cheo gani kikatiba? Maana sasa watz tunafanywa kama misukule, hii mijitu inavunja katiba ya nchi wazi wazi na haiogopi. Mke wa rais...
1 Reactions
137 Replies
17K Views
Habari wajf, Kuelekea uchaguzi mkuu mwaka 2015, jimbo la uchugazi la Kongwa lina kata 22 ambazo kwa sasa zote zipo chini ya CCM. sasa kwa wale wote wapenda maendeleo hii ni fursa ya kujitambua...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu zangu naomba kupatiwa majibu sahihi kwa yeyote mwenye taarifa ni lini daftari la kudumu la wapiga kura linaanza kuboreshwa na kuingiza watu wapya, kwa sababu mara ya mwisho sikubahatika...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Napenda kuwafunua macho Watanzania kuhusu sekta hii ya gas na ninaweza kuwa na mtazamo tofauti kabisa katika hili swala. Mitambo ya gas almaarufu kama gas power plant. Ni mitambo ya aina yake...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ni ahadi ya Kikwete! Ahadi nyingine inabidi watu watumie akili zao pia kabla hawajaziamini. Au JK kaona hao jamaa ndio rahisi kuwadanganya. Wachaga wenyewe wanabeza huko Kishumundu, JK anasema...
0 Reactions
30 Replies
8K Views
MIMI NAWAZA NA SINA KITAKACHONIFANYA KUYAMALIZA MAWAZO HAYA MPAKA HAPO KESHO, NITAKAPOONA MAGAZETI YA KESHO YAMEANDIKA NINI KUHUSU MKUTANO WA CCM JANGWANI LAKINI KAMA NITATOKA KWENYE MAWAZO HAYA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Elimu inapaswa kumsaidia binadamu kutatua matatizo ya jamii inayomzunguka, kama kuna wasomi na matatizo yanaogezeka, basi hawa wasomi walikuwa mabingwa wa kudesa vyuoni! Napenda kuwa muwazi kwa...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Tanzania ni nchi ya kipekee na yaajabu kuliko nchi nyingine yoyote duniani. Nchi hii kwa mapenzi mema watu wakewote tulipaswa kuingizwa katika kitabu cha Guinness world record kwa kuwa sisini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hii ni baada ya kupele sukari na chumvi kwa mkemia mkuu badala ya madawa ya kulevya KILO 1.9. Maafisa hao ni wa jeshi la polisi mbeya; Full story WAZIRIRI wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel...
2 Reactions
83 Replies
11K Views
Jeshi la polisi zanzibar limetoa mchoro wa sura ya aliyemuua Padre Mushi. Mchoro huo umepatikana baada ya FBI na polisi Zanzibar kuwahoji watu walioshuhudia tukio hilo la mauaji. Wananchi...
0 Reactions
245 Replies
26K Views
WEDNESDAY, MARCH 13, 2013 Mtumishi katika mnara wa Canton, mrefu kuliko yote nchini China na watatu duniani kwa urefu, Sarah Xie, akimuonyesha mandhari ya jiji la Guangzhou, Katibu Mkuu wa...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Mwanzoni mwa miaka ya 1990, nikisoma katika Shule ya Sekondari Tambaza ya jijini Dar es Salaam, niling'olewa jino katika Hospitali ya Taifa Muhimbili. Nilidungwa sindano ya ganzi, kisha nikalazwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
"Ni wajibu wa Rais kuwafukuza viongozi wanaofanya makosa makubwa na wanaokataa kuwajibika.Ni kazi yake mwenyewe.Mtu anaweza kumsaidia Rais kumnong'oneza waziri wake kujiuzulu lakini hawezi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kumekuwepo na wimbi kubwa hapa nchini hivi sasa la waandishi wa habari kuandika kwa mlengwa wa kuhamasisha ama kuchochea hali ya Udini na ukabila ambayo inakuwa kwa kasi katika akili na maisha ya...
2 Reactions
49 Replies
5K Views
Taarifa ya mkutano wa wanachama wa chama cha mapinduzi wa maeneo ya District of Colombia, Maryland na Virginia ( DMV) Ndugu Wana CCM DMV mnaombwa kuhudhuria mkutano wa uchaguzi bila kukosa, Ni...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakati CHADEMA inapambana na harakati chafu za akina Nchemba, Ridhiwani na wengine kupitia TISS kukiangamiza chama hicho, wasiache kabisa kampeni dhidi ya magambazi kuhusu wizi wa mali za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Maneno hayo yamesemwa na waziri na nishati na madini kwamba eti Miundo mbinu iliyowikwa haikidhi vigezo vya mahitaji ya sasa hivi kwamba hakuna uwekezaji katiki sekta hyo kwa miaka 20 kwa hiyo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wa pili kulia) akimtambulisha Katibu wa CCM mkoa wa Mbeya Maganga Sengelema, kwa Katibu wa kitengo cha kusimamia maadili wa Chama Cha Kikomunisti cha...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Naomba nieleweke katika mtizamo huu: Dr. Ulimboka, mimi nahisi kaambiwa nyamaza kwani alisema anawajua, anajua aliyechukua wallet na simu, na amewatambua waliohusika na mengi alisema atasema...
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Back
Top Bottom