CCM kidedea tena

CCM kidedea tena

TandaleOne

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2010
Posts
1,644
Reaction score
709
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
attachment.php
 

Attachments

  • chadema.jpg
    chadema.jpg
    91.7 KB · Views: 1,787
Za South Mkuu?

Hatujawasiliana muda sana. NitakuPM tuweze kujadili mambo fulani.
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
duh! HAPO Umefunguka hadi Raha. Listen young gamba: nilikuwa siamini kuwa CCM kimepoteza mvuto kiasi hiki hadi kuashagilia ushindi wa Kitongoji kwa nguvu kiasi hiki. Na kibaya zaidi ni ushindi mwembamba mno. Tunajua hali halisi ya vitongoji vyetu hasa vijijini. Robo tatu ya wanakitongoji huwa ni wanadugu au koo flani hivi. sasa kama ndugu wa familia au ukoo mmoja wamegwanyika hivi bado mna kazi kubwa ya kufanya! 52% !!!! ptuuuu
 
yaani ndo unmeingia gharama kiasi hiki kwa ajili ya kutuletea pumba namna hii. Ndo maana Kibanda kakataa kupiga picha na wewe! Aibu
 
Kwamba afya ya ccm inaimarika! Ni vzr kwa kuwa mnakiri kwamba ipo icu!
 
Yaani kila kona CHADEMA, mtaumia sana aisee...,habari ya kuipongeza ccm kwa asilimia 80 inaiponda CHADEMA. BTW anaendeleaje Kibanda!??
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.


Haloooo hapo kwenye blue mie simo kabisa.
 
duh! HAPO Umefunguka hadi Raha. Listen young gamba: nilikuwa siamini kuwa CCM kimepoteza mvuto kiasi hiki hadi kuashagilia ushindi wa Kitongoji kwa nguvu kiasi hiki. Na kibaya zaidi ni ushindi mwembamba mno. Tunajua hali halisi ya vitongoji vyetu hasa vijijini. Robo tatu ya wanakitongoji huwa ni wanadugu au koo flani hivi. sasa kama ndugu wa familia au ukoo mmoja wamegwanyika hivi bado mna kazi kubwa ya kufanya! 52% !!!! ptuuuu

Tatizo la maelezo kama yako ni kwamba hata 10/2015 utarudi na kusema hivyo hivyo, lkn ukweli ni kwamba Mshindi ndio atakayeongoza Serikali, haijalisha kashinda kwa kiasi gani!
 
hii habari ni lazima iwe njema kwa gambaz na naona umesahau kuiwekea 'breaking newz', kwa maana hali iliyopo sasa hivi chamani ni mbaya sana!
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.
wewe una macho lakini hayaoni wala masikio yako hayasikii naona wewe ni mmojawapo wa mitaji ya ccm,ujinga, ukipewa kanga au T.shirt ya kijani unasahau unayofanyiwa
 
Sasa nashawishika kwamba Chadema ni tishio kwa Ccm, hadi babati, singida ambako tulizoea kuamini kuwa ni ngome ya Ccm nako siku iz ni fifty fifty? Nini kimeitokea ccm mpaka kuporomoka namna hii?
 
Anayekishabikia hiki chama(chadema) sidhani kama ana akili timamu.Mtu na baba mkwe wake ndo mitume watu maajabu kweli yapo Chadema
 
Nilipoona ni Tandale one tu , nilijua ulichoandika hata bila kusoma ! Sijui kwa nini ? sasa Tundu Lissu ameingiaje kwenye hii Thread yako ya Matokeo ya uchaguzi ?
 
Mgombea wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika nafasi ya uenyekiti wa kitongoji cha Halla B katika Kata ya Nangara wilayani babati, Christopher Paschal, ameshinda nafasi hiyo baada ya kumwangusha Paulo John wa Chadema.
Akitangaza matokeo ya Uchaguzi huo uliofanyika jumapili iliyopita, msimamizi msaidizi Christopher Bainet, alisema Paschal aishinda kwa asilimia hamsini na mbili (52%) ya kura zote halali.

Kwa kasi hii chadema hawafiki 2015.,wakati Lissu anafanya mkutano wa hadhara uliohudhiriwa na watu kumi na moja Segerea, CCM inaendelea kuimarika kila kona ya nchi. CCM haina kanda kuwa mikutano yake ya kanda fulani tu ndio inapata watu wala haina aina haina fulani ya watu tu ndio watashinda. CCM popote na kwa yeyote inakubalika...!

Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimejipanga zaidi katika kuhakikisha kuwa kinawafikia watu wa aina zote na kada zote.,imejipanga vijijini mpaka mijini. Chadema wako busy wanaitisha maandamano mijini, wanasahau more than 80% ya population ya Tanzania wanaishi vijijini tena wakulima ambao wanaamini katika maisha ya kijamaa na wanafuata imani ya chama cha wakulima na wafanyakazi CCM.

NB: Picha ikionesha hali ya chadema maeneo ya vijijini.,ofisi imefungwa haifanyi kazi.

Mbona iliyofungwa ni Photo Studio sio ofisi ya Chadema? Hata hivyo, baada ya miaka zaidi ya 30 ya kuwa madarakani, bado bila aibu unakuja hapa kutangaza ushindi wa mwenyekiti wa kijiji wa chama tawala tena kwa kupata 52% ya kura? Acha kuiga kila kinachofanywa na Chadema, hao wana haki ya kuleta matangazo ya uchaguzi wa vijiji hapa kwani kwao is a big score, lakini si kwa chama kama CCM. Unatuangusha mkuu hata kama kwa post hii uenda mkono ukaenda kinywani!!!!

Tiba
 
Back
Top Bottom