Bbc TAZARA documentary --dr mwakyembe angalia hii

Reli zote zinzhujumiwa na vigogo wenye biashara za mataki, Kama TISS ingekuwa kwa maslahi ya taifa wangemkabidhi tu report mwakyembe. Kwanza sio siri. Huwezi ukawa kiongozi mkubwa, unamiliki malori, halafu ukaitakia mema Reli na treni. Kwa kweli kama kuna kiongozi serikalini ambaye anamiliki malori, hatakiwi kabisa kuwa Raisi, waziri na Katibu wa wizara zinazo husi secta hiyo. Na kwa mfanyakazi wa kawaida anatakiwa kusema maslahi yake katika secta hiyo. Unafiki wa serikali yetu na familia zao ndio unaaotufikisha hapo. Mfumo wetu wa usalama wa taifa una udhaifu mkubwa sana. Hizi siri wanatakiwa wawape mawaziri, wabunge na magazeti yachape tu. Tujue maadui zetu. Taifa kwanza, mimi baadaye. Hata Takakuru hovyo kabisa, sijui wanafanya nini. Mpaka TAZARA inayumba, Mungu akubariki na akulinde Mwakyembe, unacheza na watu wabaya. Na kikulacho!

Ukinichukia nichukie, sifi.
 
Fredrick Sanga upo sahihi mkuu, hili serikali la CCM ka kuchoma moto tu

Moto hata sasa kanachomwa lakini kana roho ngumu kama ya nguchiro. Ngoja kwanza wakubwa waadilifu wataposhituka na kijiuzulu. Maana nahofia watasukiwa zengwe tu. Lucifer hutumia watu fulani na mwisho huwaangamiza, hata free Manson wanajua hiyo.
 
Reli zote zinzhujumiwa na vigogo wenye biashara za mataki, Kama TISS ingekuwa kwa maslahi ya taifa wangemkabidhi tu report mwakyembe. Kwanza sio siri. Huwezi ukawa kiongozi mkubwa, unamiliki malori, halafu ukaitakia mema Reli na treni. Kwa kweli kama kuna kiongozi serikalini ambaye anamiliki malori, hatakiwi kabisa kuwa Raisi, waziri na Katibu wa wizara zinazo husi secta hiyo. Na kwa mfanyakazi wa kawaida anatakiwa kusema maslahi yake katika secta hiyo. Unafiki wa serikali yetu na familia zao ndio unaaotufikisha hapo. Mfumo wetu wa usalama wa taifa una udhaifu mkubwa sana. Hizi siri wanatakiwa wawape mawaziri, wabunge na magazeti yachape tu. Tujue maadui zetu. Taifa kwanza, mimi baadaye. Hata Takakuru hovyo kabisa, sijui wanafanya nini. Mpaka TAZARA inayumba, Mungu akubariki na akulinde Mwakyembe, unacheza na watu wabaya. Na kikulacho!

Ukinichukia nichukie, sifi.

Kwa kweli ukiongea na wafanyakazi wa TAZARA wanaojua hujuma zinazoendelea, inatisha. Mwakyembe usijali mtu yeyote, fanya kazi yako. Wakikuzingua, jitoe.
 
Miiko ya uongozi iliuliwa pale Zanzibar
haya yote ya Conflict of interest yalizungumziwa vizuri na akina Nyerere na yalifanya kazi vizuri, lakini wenye akili zaidi wakatuletea Azimio lao la Zanzibar na ndio matunda yake sasa
 
Ndugu yangu ukitaja Usalama wa taifa sijui wa ccm, yaani natamani kulia, yaani hawa wato hovyo kabisa. wenyewe ni kuwinda wasema ukweli tu hakuna kingine.
 
Hii nchi inaitaji kiongozi dictator na siyependa ujinga kama Kigame w2a ruanda (natamani Sokoine angekuwepo) au mtu anayependa sheria zifuatwe bila kupindwa kwa muda wa miaka kumi tu ndio mambo yatabadilika. Lakini pia sisi wananchi tunapaswa kujua kuwa tuna nguvu kuliko serikali (nguvu ya umma ni kubwa sana) so tukiamua kweli na kwa dhati tunaweza kujikwamua. Lakini pia kauli yako @ Fredrick Sanga nimeipenda pale uliposema Taifa kwanza mimi baadae huo ndio uzalendo. China isingefika hapo ilipofika kwa muda mfupi kama wangeweka maslahi mbele.

Naomba kuwasilisha.
 
Magufuri, Dr Silaa na Mwakyembe, zaidi ya hao hakuna mwingine aliyeonyesha uzalendo na ushupavu na uthubutu. Mungu ibariki Tanzania, Mungu ibariki Afrika.
 
Hatuna hata reli moja inayoeweka. Kama vichwa tumepoteza barabarani tumewekewa mabox
 
Mjerumani kajenga reli ya kati akamaliza miaka ya 1800~, Kicheche kaja sasa anataka kungoa hata hiyo reli, Hivi unajua reli ya kwenda kilimanjaro ilikuwa ing'olewe?. Kicheche huyu ni mbaya kuliko mjerumani. Mwakyembe, koma fijo, ipo ngombe ya kulipa. Usiwaonee huruma.
 
Kwa kweli ukiongea na wafanyakazi wa TAZARA wanaojua hujuma zinazoendelea, inatisha. Mwakyembe usijali mtu yeyote, fanya kazi yako. Wakikuzingua, jitoe.

Mwakyembe hawezi kujitoa ccm kwasababu he is one of them na ndio maana alificha ukweli juu ya sakata la RICHMOND!! All in all watu wanaoweza kumfanya akatoka ccm ni watu wa Kyela ambao historia inadhihilisha kuwa ni watu jasiri wasiomuogopa mtu na hao tu ndio watakaompa ultimatum ya kuchagua kuwa mbunge wao lakini sio kwa tiketi ya ccm au asepe na wampe MTANZANIA!!
 
Watua wa kyela wana wawakilishi humu JF, we subiri tu.
 
Back
Top Bottom