Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habar waheshimiwa, napata shida wakati mwingine kuhusianisha mambo yanayotokea katika nchi yetu na wakati mwingine nahis maisha ya watanzania yanakuwa kama yanaendeshwa na watu wachache(...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Mtakumbuka kuwa mnamo siku ya jumatatu tarehe 11.03.2013 Mwenyekiti Mbowe akiwa Musoma alitangaza rasmi tarehe ya kufanyika kwa maandamano makubwa ya kuisimamisha nchi kwa siku nzima yaani tarehe...
17 Reactions
40 Replies
4K Views
Just a quote from Uchaguzi wa Kamati za Bunge:Vita Lowassa,Membe yakolezwa - Kitaifa - mwananchi.co.tz ... Dar es Salaam. Ofisi ya Bunge jana ilitangaza majina ya wenyeviti na makamu wapya wa...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Salamu wanajamvi, Kwanza nianze kwa kutoa pongezi za dhati kwa majirani zetu wa Kenya kwa kufanikisha uchaguzi mkuu wa rais na viongozi wengineo. Ingawa si pande zote zilizoshiriki uchaguzi huu...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM (T) TAMKO LA VIONGOZI WA KIISLAM JUU YA HALI YA UVUNJIFU WA AMANI NA UCHOCHEZI WA KIDINI NCHINI LILILOSOMWA KATIKA HOTELI YA LAMADA 09/03/2013 Sisi...
0 Reactions
67 Replies
7K Views
Kwa mujibu wa mwongozo uliotolewa na tume ya mabadiliko ya katiba, mabaraza ya wilaya ngazi ya mamlaka ya serikali za mitaa wajumbe wake watachaguliwa na wananchi kila Mtaa/Kijiji kisha majina yao...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
  • Closed
Siku mbili zilizopita tumeona na kusikia habari za Mkurugenzi wa Usalama wa CHADEMA. Naombeni kumjua Mkuu wa usalama wa Chama cha Mapinduzi ni nani?? Maana kumekuwa na utekaji, mauaji...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Taarifa kutoka vyanzo vya kuaminika Hali ya Kisukari ya Kamanda Lwakatare ni mbaya vipimo ya muda mfupi uliopita vimesomeka 19 mmol/ polisi wanadai Dr wao amempima imeonyesha ni 15mmol/l. Yote...
17 Reactions
104 Replies
10K Views
Mhe Edward N. Lowassa leo alikuwa na shughuli ya kuwawezesha vijana wa Boda Boda Mkoani Arusha kazi ambayo waandaji pamoja na Wanatoyo wenyewe kwa mara ya kwanza walitaka kumwalika RC ila baadae...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Nashindwa kuelewa weledi wa jeshi letu la polisi pale waliponyamaza kimya bila kumchukulia hatua yeyote sheikh Ilunga baada ya kutoa video yenye kujaa chuki na uchochezi wa wazi dhidi ya...
6 Reactions
134 Replies
17K Views
For long time Tanzanian youth have left outer the political saloon which has brought many blames from these young blood. Politics is an art to manage the country or state. Youth is young blood...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Media Institute of Southern Africa(Windhoek) 13 MARCH 2013 PRESS RELEASE Media representatives from various bodies, corporations and institutions are arranging to meet with the heads of...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Sat, Mar 16th, 2013 H.E. President Robert Mugabe of Zimbabwe (left), greets and welcomes Hon. Bernard K. Membe (MP), Minister for Foreign Affairs and International Co-operation. Hon. Membe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wananchi wa itilima wanamuomba mnyika awasaidie kuzungumza na muwekezaji anaye fanya utafiti baada ya kuwa anawanyanyasa wananchi. hamfrey mbando anaye simamia madini yupo upande wa muwekezaji...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
  • Closed
Hatimeye siri ya kutekwa, kuteswa na kunyofolewa kuchwa kwa Mhariri Mtendaji wa magazeti ya New Habari, Absolom KIbanda na unaoitwa mkanda wa video wa Willifred Lwakatare, imefichuka rasmi...
30 Reactions
195 Replies
17K Views
Mohamed Bouazizi kijana aliekuwa na shahada ila kwa kukosa kazi aliamua kufanya biashara za kimachinga nchini Tunisia.Hata hivyo juhuzi zake hizo zilizimwa kimabavu na utawala wa raisi wa Tunisia...
0 Reactions
0 Replies
992 Views
Katika jicho letu ndani ya habari star tv mjadala ni mkali sana. Waalikwa wanakubaliana kuwa televisheni na waandishi wa habari waliogopa ile habari na hivyo hawakuipa uzito matokeo yake wananchi...
1 Reactions
65 Replies
5K Views
Wewe ni mwanachama wa chama fulani, umeamua kwa hiari yako (au kwa kushawishiwa) kukihama chama chako na kuhamia chama kingine, kwanini haurudishi kadi (ya chama unachokihama) kwenye chama...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo gazeti la Mwananchi leo limeandika kuwa Waziri wa Ndani Shamsi vuai Nahodha kawaagiza polisi kumhoji Mbunge wa Tabora Mjini, Aden Rage kuhusiana na tuikio lake la kubeba bastola kiunoni Igunga...
10 Reactions
68 Replies
7K Views
​​ ISMAEL ADEN RAGE AANDALIWA MASHTAKA - KAMANDA POLISI DODOMA Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, David Misime amesema kuwa wanaandaa jalada la kuhusika kwa Mbunge wa Tabora Mjini...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
Back
Top Bottom