Rais wa jamuhuri ya muungano wa Tanzania Dr. Jakaya Kikwete amepokelewa na mamia ya wakazi wa Morogoro ktk ziara yake mkoani hapa.
Pamoja na mambo mengine raisi atatembelea chuo cha kiislam cha Morogoro pia atahudhuria ktk harambee ya uchangiaji wa kanisa katoliki Kigurunyembe.