Mwenyekiti wa CDM Taifa Mh,Freeman Aikaeli Mbowe, amesema kwamba pamoja na Mbinu chafu inayotumiwa na Serikali ya Ccm na Jeshi la Polisi dhidi ya CHADEMA, anaamini kwamba Mwaka 2015,bado...
Chama Cha Demokrasia Na Maendeleo CHADEMA,hivi karibuni kitafanya uzinduzi wa kanda ya kichama na ya kimkakati (kanda ya mashariki -makao makuu yake itakuwa KIBAHA MJINI ) kuelekea ushindi wa...
MAANDAMANO yaliyoandaliwa na Mbunge wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), yamegonga mwamba kutokana na kuahirishwa, baada ya askari polisi waliokuwa na mabomu ya machozi kuyazuia. Licha ya askari...
Wanabodi wenzangu nimekaa nikitafakari sana usiku huu nikakafiri pana haja sasa ya kiongozi yeyote atakaeomba nafasi ya Uraisi kupitia Chama chochote aje na sera ya kulinda Watanzania bila kujali...
Unajua nimekuwa nikijiuliza, kwa nini Mandela, Gandhi, Luther Nk, walisababisha kelele nyingi sana dunia nzima mpaka ukombozi ukapatikana katika malengo yao makuu. Nimegundua wanafalsafa huwa...
"....Vile vile Polisi wana hofu ya kumleta Kamanda Rwakatale mahakamani kwa sababu wanajua atapata utetezi mkubwa kuliko wanavyofikiria, walifikiri watamnyanyasa nyanyasa tu.. hapana...
Edson Kamukara
NI takriban wiki mbili, bado Jeshi la Polisi nchini halijawakamata na kuweka majina yao hadharani watuhumiwa waliomteka, kumtesa na kumuumiza Mwenyekiti wa Jukwaa la...
Waziri Mkuu Mjiuzulu na Mbunge wa Monduli,Edward Ngoyai Lowassa,amesema kuwa Jiji la Arusha ni gumu sana kisiasa hasa upande wa CCM. Lowassa aliyasema hayo jana hapa Arusha alipokuwa akizindua...
Mimi mwenyekiti wa BAVICHA Rombo naomba kutolea ufafanuzi upotoshwaji uliopo kwenye jukwaa hili,taarifa hizi zinazosema Katibu wa BAVICHA Rombo bwana Abdul Issa amejiuzulu na kumkabidhi mwenyekiti...
Mtz yeyote mzalendo na anayeona mbele kuhusu hatma ya nchi yetu sasa tambua huu si muda wa kupumbazwa na harakati za CCM na SERIKALI yake za kutudanganya kwa kupika uogo wa kuwazushia wazalendo wa...
1. kuuawa kwa baadhi ya watanzania wakitimiza haki yao ya msingi ya kuandamana.
2. Kuumizwa na kuuawa kwa waandishi wa habari.
3. Migogoro ya kidini ambayo kwa kiasi kikubwa imelelewa na watawala...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kata ya Kigamboni inatarajia kufanya mkutano mkubwa wa wazi siku ya Jumapili tarehe 24.03.2013 katika viwanja vya Swala.Wanachama,wadau,wafuasi na...
KATIBU wa Baraza la Vijana wa Chadema (BAVICHA) wilaya ya Rombo, Abdul Issa amekihama chama hicho na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi.(CCM)
Hatua hiyo imefikiwa baada ya Katibu huyo kudai...
Habari hizi ni kwa mjibu wa gazeti la Tanzania Daima leo jumapili.
Afisa Ikulu ahusishwa na mkakati huo, afya ya Lwakatare mbaya
na Mwandishi wetu
WAKATI sakata la Mkurugenzi wa Ulinzi...
Historia inatukumbusha kuwa Mnamo mwaka 2008, Chadema ilikumbwa na mgogoro baina ya viongozi wake wa juu katika suala la Mgawanyo wa rasilimali za chama. Tofauti hizo zilipanuka zaidi baada ya...
Mhariri Mtendaji wa Habari Corporation, Absalom Kibanda, kwa sasa yuko Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, akipelekwa Afrika Kusini kwa matibabu.
Ndege imekodiwa na mwajiri wake...
Ni baada ya kuwanunua vijana wa boda boda na kuwapeleka Triple A Club na kuwapa chakula na pesa
Na kuwaaidi kuwanunulia boda boda na vijana wale kushangilia kwa kejeli huku mmoja wao akiendelea...
President Kikwete wins praise over 2010 election promise: Residents mostly farmers in Katavi and Rukwa regions have praised President Jakaya Kikwete for fulfilling promises he made during 2010...
Mbunge wa Jimbo la Arusha, Godbless Lema (Chadema)
Lema akishirikiana na wasanii watatu wa muziki wa kizazi kipya, John Mkoloni na wawili mapacha kutoka Kundi la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.