Economic Forum at SAUT: Prof. Muhongo, Lissu ndani (March 16, 2013)

Economic Forum at SAUT: Prof. Muhongo, Lissu ndani (March 16, 2013)

Sungurampole

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2007
Posts
984
Reaction score
206
Wakuu nimepkea meseji hii katika simu yangu:

Sautesa is expecting to hold the biggest Economic Forum ever in SAUT (St. Augustine university of Tanzania) with a theme discussed and selected which says " ENERGY RESOURCE TOWARDS ECONOMIC DEVELOPMENT IN TANZANIA" expected Guests are Prof Sospeter Muhongo, min of Energy and Minerals(MP), Hon Tundu Lissu-MP (East Singida), Antony Diallo, Director of Sahara media group. Mwanza Economist Mr Patrick, Prof Mlambiti Melchior Emeran- SAUT, Mr Ernest Ndikilo RC Mwanza. James Suleman-rep of IMF WB in South Africa and others.

The forum will be held at SAUT, Mwanza on 16 march 2013. Venue M13 from 8.00hrs.

Note no entrance and free soft drinks will be supplied. Pls inform others

Wanaojua zaidi yalivyopangwa atujuze
 
Star TV watarusha? Ingekuwa vyema ili na sisi tulio mbali tufaidi.
 
Bora Muhongo asitie timu... Ninavyomjua Prof Mlambiti atamvua amwache uchi...
 
Ngoja niwah maana ckujua nitawapa ma updates,ila najua makamanda wapo
 
Ndugu wanajamii, niko katika viwanja vya chuo kikuu cha Mt Augustine ukumbi wa M13. Maandalizi yameishafanyika ukumbi umejaa, hivi punde Mh Tundu Lissu na Mh Sospeteter Muhongo wanawasili katika kongamano lililoandaliwa na kitivo cha uchumi. Maada kuu: RASILIMALI (ENERGY RESOURCES) ZETU ZINATUNUFAISHA VIPI KATIKA MAENDELEO YETU?. Nitawaletea Live kila kitakachojadiliwa. ASANTE!.
 
Hakuna TV channel itakayorusha live?
 
kwa kweli natamani mdahalo huo niuone live,lkn jf kuna member wengi watakuwepo kutujuza tulio mbali,muhongo asiegemee serikali,iko wazi uchumi unadorora watanena vyema prof mlambiti na lissu
 
Tayari Tundu Lissu ameishaingia akiambatana na profesa Mlambiti kutoka kitivo cha uchumi. Bado tunaendelea kusubiria wageni waalikwa wengine.
 
Aaagh , mtoamada kuwa makini utuletee yatakayojiri huko usidanganye
 
tuko pamoja sana/ lakini tungependa kuona kila atua inayofikikiwa hapo mkuu;
 
Thank you. Uwe busy kutuletea kila kinachojiri hapo.
 
Naona kama Muhongo amekula kona, tayari kongamano limeishaanza. Prof Mlambiti anatambulisha wageni waalikwa.
 
kama leo umesikiliza nakala ya asubuhi bbc swahili,uchumi wa tanzania upo kaburini.waziri wa viwanda analalamika wananchi wanalalamika maisha ni magumu balaa
 
usisahau kuturushia picha mkuu na tupe dondoo za hadhira wana mtazamo gani hapo!
 
Back
Top Bottom