Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za ikulu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Stabilaiza, Mar 13, 2013.

 1. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #1
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Kuteswa kwa Kibanda kumeacha alama nyingi za kuhusika kwa ikulu. Kati ya hizo alama ni kufanana kwa mateso ya Kibanda na Ulimboka. Lakini pia kupigwa kwake risasi kunafanana na namna Imran Kombe aliyekuwa mkuu wa usalama wa taifa.


  Kibanda alinyolewa meno na kucha sawa na Ulimboka aling’olewa meno na kucha. Mateso ya Ulimboka yamehusishwa na Ramadhan Ighondu, afisa wa ikulu ya Kikwete. Pia Kibanda alikuwa na kesi na serikali kuhusu makala ya gazeti sawa sawa na jinsi Ulimboka na madktari walivyokuwa na mgogoro na serikali.

  Pia Kibanda ametekwa na kuteswa baada ya gari la maafisa wa usalama kufuatilia gari lake wiki chache kabla ya kuteswa kwake. Vivyo hivyo gari la marehemu Imrani Kombe lilikamatwa Dar es Salaam likishukiwa na maafisa wa ‘’usalama’’ nchini. Baadaye aliuawa Moshi kwa kupigwa risasi na maafisa usalama wa nchi. Kufanana huku kwa kufuatiliwa gari la Kibanda na Imran Kombe kunaonyesha kuwa waliotumwa kufanya uhalifu huu walitaka kujiridhisha aina ya gari analoendesha Kibanda na Kombe.
   
 2. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2013
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 387
  Trophy Points: 180
  Ni mpango mkakati!
   
 3. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #3
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Ni moja ya ahadi za maisha bora kwa kila mtanzania?
   
 4. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #4
  Mar 13, 2013
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,446
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  kwanini wasimteke Dr Slaa au Mbowe?
   
 5. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #5
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Nao walishapigwa kule Arusha. Pia Dr. Slaa ameshasema mara nyingi kuwa ametishiwa maisha na uhai wake. Wewe hujawahi msikia akilalamika?
   
 6. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #6
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kuna CHADEMA intelligence inayoizidi UwT/TISS kwa mbali sana
   
 7. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #7
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawa watu hawana hata aibu, wanaua mchana kweupe, hukuona ya Iringa. Nasikia mlengwa alikuwa Dr. Slaa.
   
 8. chelsea fc

  chelsea fc JF-Expert Member

  #8
  Mar 13, 2013
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 835
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  hawawezi ................ Coz patachimbika
   
 9. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #9
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Mkuu hawana soni hawa, chuki na visasi vimewajaa hadi kwenye nyusi
   
 10. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #10
  Mar 13, 2013
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,615
  Likes Received: 402
  Trophy Points: 180
  JK anasema kila mtu aubebe msalaba wake,maisha bora yameota mbawa.
   
 11. V

  Voretus Member

  #11
  Mar 13, 2013
  Joined: Dec 22, 2012
  Messages: 67
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh basi kazi ipo!!!!
   
 12. S

  Stabilaiza JF-Expert Member

  #12
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 11, 2012
  Messages: 1,711
  Likes Received: 662
  Trophy Points: 280
  Tatizo ni kuwa ikulu yake inahusika, utadhani alichaguliwa kuwatesa wazalendo
   
 13. utaifakwanza

  utaifakwanza JF-Expert Member

  #13
  Mar 13, 2013
  Joined: Feb 1, 2013
  Messages: 14,101
  Likes Received: 1,714
  Trophy Points: 280
  ingia youtube andika neno bukoba boy au fungua thred hapa jf inayosema chadema..hapa lwakatare alikuwa anamaanisha nini???
  utapata maneno haya;

  kwa kipindi cha miaka miwili mitatu sasa kumekuwa na matukio ya kinyama na ya uvunjaji haki za binadamu dhidi ya watanzania wachache wenye moyo wa uzalendo wa kuleta haki na usawa kwa jamii ya kitanzania iliyonyanyasika kwa kipindi kirefu.

  Hivi majuzi Absalom kibanda mwenyekiti wa jukwaa la wahariri ameteswa na kufanyiwa unyama wa hali ya juu huku jamii ikibaki na maswali yasiyokuwa na majibu.

  Aliteswa mpiganaji DR ULIMBOKA wakati yupo kwenye harakati za kuitetea sekta ya afya hapa nchini.

  kijana ISSAH alimwagiwa tindikali huko igunga huku kukitokea mauaji ya kusikitisha ya mwandishi DAUDI MWANGOSI mkoani iringa na mwananchi asiye na hatia huko morogoro.

  Watu wenye uchungu na nchi yao wamechoka wameona sasa basi..

  Tukio la KIBANDA ni mwendelezo wa matukio yanayofuata.. Hivi karibuni mtasikia tukio lingine kubwa dhidi ya mwandishi mwandamizi wa mwananchi communications Ltd......sikiliza video.

  Huyu anayeongea ni mchora dili mkuu kwa maelekezo ya mwenyekiti na katibu wake mkuu.

  Hii ni part 4, part zingine zimekwisha tekelezwa Ila ZITAWEKWA HAPA WAKATI MAHSUSI UKIFIKA......
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Mar 13, 2013
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 38,935
  Likes Received: 30,494
  Trophy Points: 280
  Hivi ni usala wa taifa au uharamu wa taifa?
  Wabadilishe tu jina wazee wa Makumbusho
   
 15. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #15
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,873
  Likes Received: 3,208
  Trophy Points: 280
  Umesahau na yule princess wa ikulu alivyo-post maandishi ya kebehi halafu alipoona amesutwa akajifanya eti wali-hack account yake
   
 16. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #16
  Mar 13, 2013
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,446
  Likes Received: 295
  Trophy Points: 180
  anadhani kila mtu hajasoma kama yeye,watz sasa wapo kidigitali zaidi
   
 17. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #17
  Mar 13, 2013
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,425
  Likes Received: 698
  Trophy Points: 280
  Kibanda alipigwa rtsasi?
   
 18. Rugaijamu

  Rugaijamu JF-Expert Member

  #18
  Mar 13, 2013
  Joined: Jul 10, 2010
  Messages: 2,883
  Likes Received: 598
  Trophy Points: 280
  Kwa jinsi ulivyoweza kuunganisha hizo nukta, sina hata chembae ya shaka juu ya kuhusika kwa IKULU YA KIKWETE.
  Mpaka siku ya leo bado najiuliza imekuwaje mpaka sasa hakuna hata mtu mmoja aliyekamatwa na kuhojiwa juu ya tukio hili, kuna nini nyuma yake ? Mbona waliompiga risasi na kumuua aliyekuwa kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza walipatikana faster tu! Kwa nini hali haiko hivyo kwa waliomtesa Kibanda?

  Kila dei ni matamko na kulaani yaliyompata huyu mwanahabari.....Kwa nini tunashindwa kwenda mbali zaidi ya hapo?
  Watanzania tunatia aibu kwa knung'unika, TUACHE TABIA HII, TUNAZIDI KUUMIZWA!
   
 19. g

  gogo la shamba JF-Expert Member

  #19
  Mar 13, 2013
  Joined: Mar 1, 2013
  Messages: 6,390
  Likes Received: 1,088
  Trophy Points: 280
  mbona hawa wanaJF wanaelezea vitu ambovyo vikifanyiwa kazi tanzania itakuwa nzuri, hivi hawa polisi hawayasomi haya?
   
 20. delusions

  delusions JF-Expert Member

  #20
  Mar 13, 2013
  Joined: Jan 11, 2013
  Messages: 4,939
  Likes Received: 651
  Trophy Points: 280
  Ushahidi wa kitoto sana sawa na muvi za jakie chain
   
Loading...