CCM: Zamu kwa zamu

CCM: Zamu kwa zamu

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Posts
6,140
Reaction score
18,007
Mchezo wa kujadili mtu badala ya hoja ulioasisiwa na Nape (au Nahum) Nnauye,umepongezwa na CCM.Mpango huo unawalenga viongozi wa CHADEMA katika kuwajadili maisha yao binafsi kama ndoa,elimu na hata amekula nini na wapi siku hiyo.

Katika email niliyopokea asubuhi hii kama Kada Maarufu hapa Lumumba,Nape anapongezwa kwa kumsakama Dr.Slaa na Mnyika. Email imewataja Mwigulu Nchemba,Wasira,Lukuvi Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kama wafanikishaji wa mpango huo.

'Nape amebuni jambo jema. Lazima apongezwe sana. Anawapoteza maboya sana CHADEMA.Hakuna haja ya kupambana na NCCR wala CUF kwakuwa hao hawainyimi usingizi CCM. Hao waachwe salama waendelee na siasa zao' ilisema email hiyo

'Akitoka Mnyika,afuate Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa wa Iringa Mjini na baadaye Vicent Nyerere. Lema ameshashughulikiwa na anaendelea kushugulikiwa. Vijana wetu ndani ya CHADEMA wapo imara ingawa wana shaka kuu. Wawezeshwe. ' imeamuru email hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu Taifa Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana.

' Mambo haya Mwenyekiti na Makamu wake hawayafahamu.Wao wanataka siasa safi. Wasiyajue mambo haya.' ilibainisha email hiyo toka juu.

Ni zamu kwa zamu.Wahusika na wafahamu.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
 
Last edited by a moderator:
Mbona poa tu kwa vigezo vyao vya elimu kata hawjui wanamsogeza kobe kufika safari yake.
 
mkuu copy and paste it,some of us are doubting thomases
 
Sioni ajabu kama kweli hiyo e-mail imeandikwa na huyo jangili wa pembe za ndovu!! Watu hawadanganyiki tena kwa propaganda kwani wao wanafuata uzito wa hoja!!
 
:lalala: Tanzania eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee nakupenda sana
 
Mchezo wa kujadili mtu badala ya hoja ulioasisiwa na Nape (au Nahum) Nnauye,umepongezwa na CCM.Mpango huo unawalenga viongozi wa CHADEMA katika kuwajadili maisha yao binafsi kama ndoa,elimu na hata amekula nini na wapi siku hiyo.

Katika email niliyopokea asubuhi hii kama Kada Maarufu hapa Lumumba,Nape anapongezwa kwa kumsakama Dr.Slaa na Mnyika. Email imewataja Mwigulu Nchemba,Wasira,Lukuvi Juliana Shonza na Mtela Mwampamba kama wafanikishaji wa mpango huo.

'Nape amebuni jambo jema. Lazima apongezwe sana. Anawapoteza maboya sana CHADEMA.Hakuna haja ya kupambana na NCCR wala CUF kwakuwa hao hawainyimi usingizi CCM. Hao waachwe salama waendelee na siasa zao' ilisema email hiyo

'Akitoka Mnyika,afuate Tundu Lissu, Mchungaji Peter Msigwa wa Iringa Mjini na baadaye Vicent Nyerere. Lema ameshashughulikiwa na anaendelea kushugulikiwa. Vijana wetu ndani ya CHADEMA wapo imara ingawa wana shaka kuu. Wawezeshwe. ' imeamuru email hiyo kutoka kwa Katibu Mkuu Taifa Kanali Mstaafu Abdurahman Kinana.

' Mambo haya Mwenyekiti na Makamu wake hawayafahamu.Wao wanataka siasa safi. Wasiyajue mambo haya.' ilibainisha email hiyo toka juu.

Ni zamu kwa zamu.Wahusika na wafahamu.
VUTA-NKUVUTE aka Mzee Tupatupa wa Lumumba Dar es Salaam
mkuu ili tukuamini kama kweli umetumiwa e-mail hiyo, basi i copy na kui paste hapa.
 
rip ccm na offices zake lumumba.

kinanaaaa . . . . .
Weka mbali na tembo
kinanaaaa . . . . .
Weka mbali na tembo
basi hawajui kuwa ndo wanazidi kumpaisha dr slaa pia umaaruf chadema
 
Kinana anafanya kimchezo hiki? Weka basi hiyo copy ya email ili tujiridhishe
 
Mh!!! mipango yenyewe ya kuratibiwa na Nahum na Lameck mbona hainaga madhara kwa CHADEMA
na viongozi wake zaidi ya kuzidi kuwapandisha chati.Let them go ahead"
 
tatizo ni kwamba inawezekana anachosema kinatoka kichwani mwake.mimi sijaamini taarifa za huyu bwana kulingana na anavyozitoa.kwa mfano yeye alitumiwa e-mail kama nani?
Kwenye bandiko lake amejinasibu kuwa ni Kada Maarufu wa CCM pale Lumumba.Halafu,yawezekana wametajwa kwenye email mkuu. It is somehow risky.
 
tatizo ni kwamba inawezekana anachosema kinatoka kichwani mwake.mimi sijaamini taarifa za huyu bwana kulingana na anavyozitoa.kwa mfano yeye alitumiwa e-mail kama nani?

Kama mwenzao hapo Lumumba mkuu"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom