CHADEMA in war against the truth | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CHADEMA in war against the truth

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by amanibaraka, Mar 16, 2013.

 1. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Yoyote anayemjua Lwakatare na kama ameitazama video yake iliyorushwa mtandaoni atajua kwamba yule ni yeye kwa umbo, kwa sauti na hata matambo yake.

  Nashangaa sana watu wanaotumia nguvu zao zote kupinga ukweli huu kuwa Lwakatare amerekodiwa akipanga hujuma mbaya na za aibu za kudhuru binadamu na watanzania wenzake.

  Baada ya kuona ushahidi huu najiuliza CHADEMA wameua wangapi? mpaka sasa?

  Mimi naamini kuwa CHADEMA wanaweza kuukandamiza ukweli ule kwa mafanikio makubwa hasa mtandaoni kwani propaganda machinery yao iko sophisticated sana, Lakini CHADEMA will not be able to fool all the people all the time.

  Shame to all CHADEMA supporters who know the truth but you are determined to fool Tanzanians.

  Ni kweli the end justifies the means lakini sio kwa namna hii. You have crossed the line. Period.
   
 2. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,135
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Ukweli haupigiwi Kura !!
   
 3. Z

  ZeMarcopolo JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2013
  Joined: May 11, 2008
  Messages: 13,593
  Likes Received: 488
  Trophy Points: 180
  Wameshazoea KULAGHAI watu...
   
 4. K

  Kilaza JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2013
  Joined: Feb 28, 2013
  Messages: 3,324
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 0
  Amina chifupa
   
 5. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #5
  Mar 16, 2013
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  -Aanze kuleta video Mwigulu Nchemba aliyesema anayo ili kunusuru maisha ya watu

  -Aliyepost kwenye mitandao akamatwe

  -Jifunze na jielimishe kuhusu teknolojia ya kuchezesha na kupachika maneno kwenye video

  -Mauaji ya Imran Kombe,Karume na kifo tata cha Prof.Malima vinajadilika

  -Toa rai kwa Polisi iache kutumika kisiasa,TISS ambayo imekua mstari wa mbele kuiwinda CHADEMA kutumia watu wale wale na wasaliti wale wale wamejaribu kweli safari hii but wamekosea

  NB:Wasipompandisha mahakamani jumatatu ili ukweli ujulikane basi itabidi watanzania wa-play part yao ili kukomesha tabia hii na ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu
   
 6. p

  politiki JF-Expert Member

  #6
  Mar 17, 2013
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,373
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  sisi wengine hatuangalii vitu kwa black and white kama wewe, we think outside the box by going beyond average mind
  can see. why didn't the producer avoid turning in the clip to the authorities? we don't trust the authority which is famous around the world for kidnapping and killing its own citizens. we look into everything with skeptical eyes, we want to verify what is behind the curtain before we make conclusion. we can't stop you from believing in brutal regime with bunch of wababishaji but don't force us to trust killers of mwangosi that suddenly they are interested in truth.
   
 7. Songoro

  Songoro JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2013
  Joined: May 27, 2009
  Messages: 4,135
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Mbona taarifa za kiintelijensia kutoka vyanzo vya kuaminika zinasema Wewe ndo walewale style za Lwakatare na Mabere Marando,tofauti yenu ni Aina Ya biti mnazokuja nazo!
   
 8. paradiso

  paradiso JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2013
  Joined: May 18, 2012
  Messages: 1,023
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  CCM kila jambo mnalofanya lina-backfire kwenu.
  CCM mmelaaniwa na mungu.

  Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Mar 17, 2013
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Suit yourself---------:::/\
   
 10. MALUNGU

  MALUNGU JF-Expert Member

  #10
  Mar 17, 2013
  Joined: Jun 2, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Uwe na ufikiri wa kutumia kichwa na wala sio tumbo lilowekwa kwa ajili ya kubebea chakula na mfumo mzima wa chakula. Ukiangalia, kwa nini uangalie badala ya ku-prove kama kweli ni yeye? Hujaona picha Minara ya watu kama Nyerere amejengwa? Hivyo huwa ndiye yeye Nyerere? shirikisha viongo husika katika kazi husika.
   
 11. Kikusya

  Kikusya Member

  #11
  Mar 17, 2013
  Joined: Oct 2, 2011
  Messages: 80
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 25
  kama kweli wewe huko makini nenda angalia tena hiyo video, utagundua kwamba yeye Lwakatare ajua kwamba anarekodiwa kwa kushiriki kenye set up ya mc kwa kuongeza "Ee" yaani sawa. kwa mtu makini huwezi kutegemea video ndiyo huamini. walishiriki kuandaa video kwanza ni hawana upeo mzuri. kwa maana huwezi kuandaa au kupanga maangamizi karibu na kelele za mabasi, magari na kuacha dirisha lisilo na dirisha wazi kama wapita njia kibao. Yaani ni umbumbumbu mtupu kwa wote walishiriki ni kama maagizo ya aliyemaliza darasa la saba.
   
 12. Bei Mbaya

  Bei Mbaya JF-Expert Member

  #12
  Mar 17, 2013
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 2,265
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Chadema hawajawafukuza uanachama Abeid na ACP Kamuhanda tu?
   
 13. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #13
  Mar 17, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  two wrong doesnt make right. Hoja unazoleta ni kama ku- divert from the topic, from the issue under discussion. The point in the video is lwakatare speaking. Full stop.
   
 14. Uda

  Uda JF-Expert Member

  #14
  Mar 17, 2013
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 731
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  imran kombe!
   
 15. i

  incharge JF-Expert Member

  #15
  Mar 17, 2013
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 1,199
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  chadema ni chama cha wahuni sema ndio hivyo kipenda roho, washabiki wake hawataki kuona ukweli yaleyale ya chacha wangwe , chama kimejaa wahuni
   
 16. amanibaraka

  amanibaraka JF-Expert Member

  #16
  Mar 17, 2013
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 258
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  I like your argument. Kitu sahihi cha kufanya ni kumsubiri atoke kisha mumuulize ilikuwaje akasema yote yale hali dalili zinaonyesha alikuwa akijua kuwa anarekodiwa? By the way, yeye kujua kuwa anarekodiwa hakufanyi video isiwe real, ila inaleta mashaka kuwa huenda Lwakatare ali-stage video ile makusudi ili aki- discredi chama chake. Kwa wanasiasa wa aina yake wanaohamahama ikithibitika hivyo halitokuwa jambo la kushangaza.

   
 17. p

  politiki JF-Expert Member

  #17
  Mar 17, 2013
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,373
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  the issue here is not the video but the authenticity of video which can obtained by confronting and cross examining the the producer.
   
 18. p

  politiki JF-Expert Member

  #18
  Mar 17, 2013
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 2,373
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  you argument is bogus kwani mtu anayerekodiwa hawezi kutoa makamasi puani na kujifutia kwy nguo yake mbele ya kamera. nchi nyingi sijui kwa Tanzania kumrecord mtu bila kumwambia ni illegal
   
 19. M

  Maubero JF-Expert Member

  #19
  Mar 17, 2013
  Joined: Feb 21, 2013
  Messages: 1,533
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Maandishi yaliyoandikwa kwa MASABURI utayajua tu.subiri polisi wamalize uchunguzi wao.
   
 20. Makala Jr

  Makala Jr JF-Expert Member

  #20
  Mar 17, 2013
  Joined: Aug 25, 2011
  Messages: 3,397
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Tatizo ni ushahidi wa mazingira,pale haonekani Lwakatare peke yake,mbona humsemi yule binti aliyekwenda dirishani na kurudi kusikojulikana,mbona husemi kuhusu black wall kulia pichani? Mbona hutuambii kuhusu kelele za chupa na honi za magari? Mimi simtetei Lwakatare lakini pia simtuhumu kwani ukisikiliza kwa umakini sauti ya mtu asiyeonekana utagundua he never resemble to be an assassin.Lakini pia,ukiangalia waving colour around his physical body,you will discover that the video placed in the designed frame.
   
Loading...