ZeMarcopolo
Platinum Member
- May 11, 2008
- 14,279
- 7,685
Mwenyekiti wa chama cha NCCR Mageuzi mh. James Mbatia ameonyesha mfano wa kuigwa katika kusaidia shughuli ya uokoaji wa waathirika wa jengo lililoanguka jijini Dar es Salaam tarehe 29.32013. Hayo yameelezwa na walioshuhudia jinsi kiongozi huyo wa upinzani alivyokuwa hodari katika kutumia ujuzi wake kulinufaisha taifa katika janga hili.
Hatua hii ni tofauti na mwenyeti wa chadema Freeman Mbowe ambaye alichokifanya ni kwenda kwenye mitandao ya kijamii kulifanyia kejeli janga hili kubwa kwa taifa.
Kamera za waandishi wa habari zilifanikiwa kupata picha kadhaa za jinsi mh. Mbatia alivyoonyesha umuhimu wa kuweka siasa pembeni katika majanga na kutoa kipaumbele kwenye kuisaidia jamii kuwa salama kwanza.
Hongera mh. Mbatia, hongera NCCR kwa kuwa na mwenyekiti shupavu.
Mh. Mbatia akitoa maelekezo ya hatua muhimu za kuchukua kuokoa waathirika.
Rais Kikwete akimshukuru na kumpongeza mh. Mbatia kwa mchango wake mkubwa kwenye kuokoa waathirika.
Wananchi wakimshukuru mh. Mbatia kwa msaada mkubwa alioutoa kuokoa waathirika
=============== michango zaidi ===============
Serena Hotel wamejitolea chakula kwa wanaosaidia shughuli ya uokoaji...
Asante sana Serena Hotel kwa kuonyesha mfano wa uzalendo kwa vitendo...