Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Baadhi ya askari polisi wakisukuma gari lao lililoharibika katika Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam Machi mwaka huu . Picha na Maktaba. Baada ya shughuli nyingi za kutwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo ni sikukuu ya pasaka na askofu amegusia juu ya mgogoro wa kuchoma nyumba za ibada na mauaji ya viongozi wa dini ya kuwa ipo haja ya kukaa meza moja na kila upande uamini ya kuwa mwenzake ana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mkuu wa Wilaya ya Tanga BI HALIMA DENDEGO, ameagiza kila Mkazi wa Tanga aliye juu ya miaka 18 achangie TSHS 5000 kwa ajili ya maendeleo ya Elimu. Agizo hili amelitoa mara baada ya Kuwaamuru Wakuu...
0 Reactions
38 Replies
3K Views
Wanajamvi popote mtakapomwona KIKWETE ninaomba mumweleze haya:- Mwambieni kikwete kuwa msingi wa mpasuko wa kidini katika nchi yetu kumetokana na kampeni za uchaguzi 2005 ambapo dini ilitumika...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
JUMAMOSI, MACHI 30, 2013 01:07 NA MWANDISHI WETU, DAR WIMBI la viongozi wakuu wa Kampuni ya New Habari (2006) Ltd, kuendelea kuwindwa na watu wasiofahamika, limeendelea kushika kasi, baada ya...
3 Reactions
175 Replies
14K Views
Kama kawaida, makamanda wamechukua sentensi mbili tatu za polisi na kutaka kuzitumia kujenga chuki kati yake na wananchi, eti POLISI WAMJIBU HOVYO PENGO Ndugu zanguni, hizi siasa za kitoto...
6 Reactions
113 Replies
9K Views
Ni majira ya saa tisa na dakika ishirini msafara wa mh.Lowasa uliingia kwenye manispaa ya Shinyanga mjini ukiongozwa na gari la askari polisi,ziara hiyo ni miongoni mwa ziara za kuchangia katika...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Nimekuwa nikitafakari kwa kina dhidi ya woga uliotanda ndani ya nafsi, na akili za wananchi katika kule kuhadaika na kauli ama madaraka ya Chama cha Mapinduzi yaliyodumu zaidi ya miaka 50 ikiwa...
0 Reactions
0 Replies
837 Views
Hapa Uganda wameingia chaka, EAC mashakani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nawaomba viongozi wa CHADEMA amkeni, ITISHENI mkutano mkuu mkae mpange mikakati thabiti ya kukinusuru chama chenu kwani hali ya sasa inaiweka CHADEMA hatarini sana. Suala la Lwakatare, Polisi...
3 Reactions
103 Replies
10K Views
BREAKING NEWS: MTUHUMIWA WA MAUAJI YA PADRI EVALIST MUSHI AKAMATWA ZANZIBAR Jeshi la polis linamshikilia Omari Musa Mkame Mkazi wa Mwanakwerekwe Zanziba anaye sadikiwa kuwa ni muuaji wa padre...
2 Reactions
185 Replies
24K Views
Hali ya siasa nchini ipo katika kipimo cha Def Cond 003, hii inamaana kuwa tungelitazama katika mizani ya hali ya Taifa, rais angelishatangaza hali ya hatari isiyozidi wala kupungua siku 28...
24 Reactions
77 Replies
6K Views
Asilimia kubwa ya wakazi wenyeji wa mkoa wa Dodoma wanakaa vijijini,maeneo ambayo yamegubikwa na umasikini wa kutisha wa kimazingira na watu wenyewe.Ni maeneo ambayo hayana huduma muhimu za msingi...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
MAWAZIRI wawili wa Rais Jakaya Kikwete, jana walionja ‘joto la jiwe’ baada ya wananchi wa Mtwara kuwazomea mkutanoni na hivyo kulazimika kukatiza mkutano wao. Mawaziri hao ni Dk. Abdallah...
5 Reactions
67 Replies
7K Views
na Edmund Mihale|Machi 30 Taratibu mambo yameanza kuwekwa hadharani, na sasa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinasema Mkurugenzi wao wa Idara ya Ulinzi, Wilfred Lwakatare...
4 Reactions
45 Replies
7K Views
MATEMBEZI YA AMANI WILAYANI KAHAMA JUMAPILI YA PASAKAWana Kahama wote mnaombwa kushiriki Matembezi ya kuhamasisha Amani yaliyo andaliwa na chama cha NCCR – MAGEUZI yatakayofanyika siku ya...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Source: allfamousquotes.net Tafakari chukua hatua. Tatizo kuna watu kama Chris Lukosi Wanachukua hatua halafu wanarudi tena kuungana na kumsikiliza huyo jamaa ndio maana hadondoki.
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Napenda kutoa wito kwa vyombo vya habari,hasa magazeti,kuripoti,tena kwa uzito unaostahili, kauli ya Mwigulu Mchemba, kuwa aliyeempa mkanda unaoonyesha viongozi wa CHADEMA wakipanga mauaji ni...
3 Reactions
50 Replies
5K Views
Wanasahau kuwa ajira yao ni watu na watu ndio siasa, wacha picha iongee!
1 Reactions
2 Replies
847 Views
Back
Top Bottom