Watu zaidi ya kumi mpaka sasa wapo chini ya kifusi baada ya kufukiwa huko Arusha muda mfupi uliopita. Inasemekana walikuwa wakichimba na kupakia Moram inayotumika na makampuni ya ujenzi. Kijiko kinachotumika kufukua udongo ili kuwakuta watu hao,kimeishiwa mafuta na zoezi linaenda kwa kusuasua. Source: Breaking News-ITV