wikiliks
Member
- Dec 15, 2012
- 84
- 27
[h=5]HATARI TULIOMO NDANI YAKE
Nchi imeshaingia vitani.Hivi ni vita vigumu sana lakini wananchi watashinda NGUVU YA UMMA!.Ugumu wa vita hivi unapita ule wakugombea Uhuru wa bendera kutoka kwa wakoloni Waingereza.hivi nivita vya kugombea Uhuru wa UCHUMI bora kwa watu wote Elimu bora kwa wote Afya njema kwa watanzania wote. ni Vita vya kugombea nchi isiuzwe na kurejeswa mikononi mwa wakoloni. ni Vita vya wale wasio nacho wengi masikini watanzania na walionavyo wachache wenye madaraka matajiri wakupindukia watanzania wenzetu wasio na UTU!. Nivita vya kugombea tonge moja la ugali au kikombe kimoja cha uji kutoka kwa wachache walio jilimbikizia magunia ya chakula na minofu ya nyama samaki na vingine vingi kwenye majokofu yao tayari kuwapikia Mbwa wao huku watanzania wenzo wakifa kwa njaa!!. Vita hivi sio vyenu ninyi wachache mlio miliki kila kitu hata msicho stahili bali watajumuiswa wote walio kua karibu nanyi baba zenu mama zenu wajomba zenu watoto wenu wajukuu wenu rafikizenu na wote mlioshirikiana nao kuyafisadi maisha ya Watanzania!......Unayo akili timamu usiniulize vita hivyo vimeanzia wapi na vitaishia wapi na kamanda wake ninani.......Mtu mchelea kweli,hawezi kutenda haki;wala lililo halali!.
"WATU WEMA HUACHA URITHI KWA WANA WA WANA WAO!!.
WAPUMBAVU hufuja na kula urithi wa vizazi vyao!!"
DUNIA INATABIA YA KUWAFICHA WATU WAKE WEMA NA KUWATAMBULISHA WATU WAKE WABAYA!!..by (Kepha Dickson.) ................I love equality and justice!.[/h]