Mwaka jana Serikali kupitia waziri wake wa nishati ilitangaza kuwa imetenga bilioni 40 kwa ajiri ya kusambaza umeme mkoani mtwara mradi ambao ulitakiwa kukamilika mwezi Desemba. Ilipofika Novemba...
Habari zilizotufikia muda huu ni kwamba chama cha Mapinduzi na Jeshi la Polisi wameanza kazi Potofu ya kuwabambikia kesi viongozi wa chadema nchi nzima na hii tusipokuwa makini italeta uhasama...
Ndugu wana JF kwa wale wanaofuatilia namna mambo yanavyoenda katika chaguzi hizi mtakubaliana nami kumekuwa na kiwango kikubwa sana cha kuminywa kwa maamuzi ya wananchi na badala yake kubebwa kwa...
Matukio Bungeni Feb 2013, Spika, Naibu Spika na kamati za Bunge
madiwani wa CHADEMA
Mwenyekiti wa jukwaa la Habari Bw. Kibanda
UDini
Wanachama Chadema Dodoma
Hali tete Masasi, Mtwara, Kilosa
Ziara...
Naona tumehusudu sana watu hao nchini.
Wanaodrive agenda ya nchi hii ni hao watu watatu
1.Mchina-Amesign mikataba 17 ,ambayo mpaka mimi kama msomi sijui ni ipi?
-Mchuchuma na...
IGP mwema asipojiuzulu, basi hatuna serikali wala bunge. Hii sasa imefika kikomo, siwezi kuamini haya yanafanyika ndani ya nchi yetu. Serikali ya C.C.M ndio chimbuko la haya yote....Heri nitupe...
Napenda kumshauri na kumsihi naibu katibu mkuu wa CCM bara,mh.Mwigulu Nchemba,kuwa awe makini na aina ya siasa anazoziendesha.Anapaswa kutokujisahau,kutokulewa madaraka na kusoma alama za...
By Nyasa Times Reporter | August 11, 2012
Malawi President Joyce Banda on Saturday made an emotional declaration that she shall die for the sake of her country, in...
Nimekutana na hii ripoti ya world bank sijui kama mwakyembe anayo, naomba mtu mwenye contacts zake am-fowardie ili afanyie kazi sehemu zenye udhaifu zilizo wazi kuziona.
pia mimi nina swali la...
Paroko Msaidizi wa Kanisa Katoliki parokia ya Chumbageni, Padre James Kabosa ameponea chupuchupu kuswekwa ndani na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego kwa madai ya utovu wa nidhamu.
Tukio...
Wabunge wetu tunawafahamu,tabia zao na uchangiaji wao bungeni tunaufahamu.Pia serikali yetu tunaifahamu vizuri sana,swali ni je,tutarajie nini bajeti ya mwaka huu? Upo unafuu? Nani ataumizwa kama...
Marekani imefanikiwa kuwafanya wananchi wake kuthamini taaluma zao, na pia kuwavuta wataalam wengi kutoka nchi mbalimbali duniani. Takwimu sahihi za mwaka 2011 zinaonesha kwamba viwango vya...
sinema na sarakasi alizozianzisha nchemba na mkanda wake umekuwa na impact kubwa kiasi na kwa kiwango fulani umeanza kuwavuruga baadhi ya watu wenye mioyo miepesi. watu wengi wamekuwa wanajiuliza...
Wakati kukiwa na vuguvugu la watu wanaotaka kuwania urais baada ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza ngwe yake mwaka keshokutwa, Rais mstaafu wa serikali ya awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, ameibuka na...
Wanabodi,
Itakumbukwa kuwa TCRA ilitoa amri kwa makampuni ya simu nchini kupunguza gharama za kupiga simu kwa wateja wake.
Kwamba gharama hizo hazikutakiwa kuzidi sh. 135 (kama sijakosea) na...
Heshima mbele wakuu wa JF.
Ninaangalia bunge live na nilichoweza kugundua,muendesha kamera anapeleka kamera tu kwa yule anayeongea na hivyo hatutaona tena vituko vya hawa waheshimiwa wakiwa...
Tumesoma leo kwenye moja ya threads hapa kuwa Zitto hatogombea ubunge tena Kigoma,. Kila mtu kalitafsiri hili jambo aonavyo yeye lakini mimi nimeliona tofauti sana na wengine.
Mie binafsi namuona...
Hatimaye kada wa CCM aliyetimkia huko baada ya kuwa CHADEMA Makao Makuu, Saumu Malungu ameomba ulinzi CCM. Hii inafuatia kutajwa kwake na Mkurugenzi wa Sheria wa CHADEMA,Wakili Msomi Tundu Lissu...
U- KABILA UNACHANGIA KUATHIRI SEKTA YA ELIMU NCHINI
Kibao kinachokataza kutumia lugha ya kirangi na kusisitiza kutumia kiswahili katika shule ya sekondari Chagaa iliyoko Wilayani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.