habibu bakili
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 202
- 51
sinema na sarakasi alizozianzisha nchemba na mkanda wake umekuwa na impact kubwa kiasi na kwa kiwango fulani umeanza kuwavuruga baadhi ya watu wenye mioyo miepesi. watu wengi wamekuwa wanajiuliza juu ya 'authenticity' ya huu mkanda na badala yake wamekuwa wakisahau lengo lingine la sinema hii iliyoanzishwa na nchemba.
kama umekuwa makini katika kufuatilia suala hili utagundua jambo moja: kila mahali ambapo nchemba amekuwa akizungumzia suala hili amekuwa hakosi kumtaja kwamba ''nimekabidhiwa mkanda huu na kiongozi mmoja wa chadema''.!?
wengi wamekuwa wakipata wazo kwamba ni zitto anayeongelewa.!
hili linaweza kuonekana kama ni jambo random tu, lakini nawahakikishia kwamba hili limekuwa ni moja wapo ya malengo makuu ya ''sinema'' hii: KUENDELEA KUMFITINISHA ZITTO NA VIONGOZI WENZAKE.
ccm inafahamu kuwa wapo wanachama wengi wa chadema wanao amini kuwa zitto ni pandikizi la ccm, jambo ambalo limefanywa kwa ustadi mkubwa na usalama wa taifa kuwaaminisha watu wengi (na hata baadhi ya viongozi wa juu wa chadema).!
naomba nitoe rai kwa chadema; ccm wanafahamu kuwa kukiwa na mgogoro katika uongozi wa chadema (kama ilivyo sasa) ufanisi wa chama utapungua na nguvu yake na ushawishi wa chadema kwa wananchi utakuwa mdogo sana, na hii itakuwa advantage kubwa sana kwao kuelekea 2015.
tutambue kuwa ccm iko tayari kwa gharama yoyote ile lazima ibaki ikulu 2015, na pia tutambue kuwa kuna hofu kubwa sana ya chadema ndani ya ccm; pia tutambue kuwa kwa sasa usalama wa taifa na kamati kuu ya ccm hawana jambo lingine lolote lile zaidi ya kuhakikisha wanapunguza nguvu na ushawishi wa chadema kuelekea 2015; hivyo basi tutegemee kuona sinema na sarakasi nyingi sana siku za usoni..
CHADEMA KAENI MACHO NA MAKINI..