Bunge Live: Hutaona tena mbunge anayelala!

Bunge Live: Hutaona tena mbunge anayelala!

Marire

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2012
Posts
12,333
Reaction score
5,314
Heshima mbele wakuu wa JF.
Ninaangalia bunge live na nilichoweza kugundua,muendesha kamera anapeleka kamera tu kwa yule anayeongea na hivyo hatutaona tena vituko vya hawa waheshimiwa wakiwa wamelala au waki chati na naona kifuatacho ni ku edit habari...
je,wewe umegundua nini?
 
waandishi wa vyombo mbalimbali si wamo humo?kamera zao zinatembea tutawaona tu.
 
Wacha tusikilize hoja kwanza.....hayo mengine mapambo tu.
 
Salaam,

Karibu usikilize sherehe za kuapishwa Rais Mpya wa Jamuhuri ya Kenya Bw. Uhuru Kenyatta leo jijini Nairobi.

Pia usikose kusikiliza Vipindi vyote vya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kila siku kuanzia saa 3as.

ILI kusikiliza tembelea: www.arushamambofmradio.co.tz

Karibu Usikilize.

Kwa maoni wasiliana nasi kwa info@arushamambo.com
Kwa Hisani ya Arusha Mambo
 
Station gani inaonyesha mimi namuona Jakaya na wana CCM kwani kuna Bunge linaonyeshwa live
 
nisaidie kwenye mtandao ni link gani naweza pata live.
 
Heshima mbele wakuu wa JF.
Ninaangalia bunge live na nilichoweza kugundua,muendesha kamera anapeleka kamera tu kwa yule anayeongea na hivyo hatutaona tena vituko vya hawa waheshimiwa wakiwa wamelala au waki chati na naona kifuatacho ni ku edit habari...
je,wewe umegundua nini?

Acha maswali ya kipuuzi, wewe Hufanyi kazi? Muda wa kazi unaangalia Bunge?
 
ahsante.....kazini kwangu hakuna TV wala king'amuzi...network ya mtandao ya kuunga unga so siwezi kusikiliza .....so nafatilia tu hizi post....endelea kutujuza
 
dah naangalia k24 channel ya kenya uwanj uko full packed kuna kiongozi kaingia na ma pikipiki wa kei si wakajua ndo kamwana aka Uhuru kaingia wameshangilia mbaya! Kuna bendi inapiga zile nyimbo za zamani za kenya mpaka raha! Salva kiir ndo kaingia
 
Vp kamanda Mugabe atakuwepo hapo?Je Bashir inakuwaje?
 
Vp kamanda Mugabe atakuwepo hapo?Je Bashir inakuwaje?

Mh Jongwe aka Mugabe hatakosa labda km uzee unamzidia! Al bashir sijajua tusubiri tuone. Zuma ndo kaingia
 
'walioibiwa' kura wako SA wanapanga mikakati ni jinsi gani warudi, you wait!!! cord.jpgCORD leaders Raila Odinga, Kalonzo Musyoka and Moses Wetangula relax away in Johannesburg, South Africa where they travelled for a post-election retreat.
source
 
UHuru mugai kenyatta Ndo anatoka kwenye makazi yake kuelekea uwanjani now.Joseph Kabila also anafika hapa.
 
Back
Top Bottom