Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana,kulifanyika kikao hapa Ofisi Ndogo za CCM-Lumumba cha kutathmini hali ya kisiasa hapa nchini kwa hivi sasa na kuandaa mwongozo wa kipi kifanywe na Wabunge wa CCM ilimkuhakikisha Bajeti ya...
5 Reactions
30 Replies
3K Views
Matukio yanayoendelea nchini kwa baadhi ya watu kutekwa na kuumizwa vibaya yanaaksi nguvu na mbinu zinazotumiwa na makundi ya kisiasa aidha kwa kulipiza visasi au kudhibiti mipango ambayo...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ukiangalia clip hii, huyu Mwana CUF Omar Mussa Makame anaamrisha hadharani Zanzibar waunde vikundi vya kiharamia. Dakika ya 3.40 na kuendelea. Polisi/Usalama wa Taifa Double standards?
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu heshima kwenu naomba kufahamu ni radio gani au tv gani inarusha bunge live?? Mwenyekufahamu tafahdhali.
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ndugu wanabodi, Ni masikitiko yangu kupitia jukwaa hili. Juzi kata hii ilikuwa wanafanya mahojiano na wajumbe kutoka vijiji vitatu vinavyounda kata hii, Cha ajabu ni kwamba kila mtu aliyekuwa...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
KAGAME AT HARVARD BUSINESS SCHOOL YESTERDAY: He said,"People of Rwanda know what they want, how they want it. They don't need anybody to hold their hands and say I must take you there. At some...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
RAIS wangu, jengo la ghorofa 16 limeanguka lakini serikali bado imesimama. Ni kipi kianguke kitoshe serikali kuanguka? Nyakati hizi zetu kusema serikali...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KWA binadamu wanaozaliwa na mwanamke, wakaishi, wakafanya mambo yao, wakifa inaleta kihoro na msiba kwa watu wengi. Lakini wapo wengine ambao utamani kuamini walizaliwa na mwanamke wakaishi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Naomba tujadili kwa pamoja fikira yangu kuwa nadhani imefikia wakati sasa na hasa katika katiba hii mpya kuwa MAWAZIRI wawe waajiriwa kulingana na professionalism na siyo wabunge kuteuliwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
HATIMAYE Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Mwigulu Nchemba, amekiri kuhusika na video inayomwonesha Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
2 Reactions
57 Replies
8K Views
Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile. Mbunge wa Kigamboni (CCM), Dk. Faustine Ndugulile, amesema yupo tayari kufa kwa ajili ya wananchi wa Kigamboni na haogopi vitisho vya baadhi ya...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Diwani wa kata ya Igawilo Jijini Mbeya ndg Chifoda Fungo aliiba bati za shule ya kata ya secondary inayoitwa Mponja Secondary ameendelea kulindwa na mkuu huyo wa wilaya kwa mkuu huyo wa wilaya...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwanza poleni na kazi za hapa na pale katika pilikapilika za kutafuta na kuendesha maisha. Mimi ni mwanachama halali wa CHADEMA mwenye kadi namba 0333673 ya uana chama. Ningependa...
0 Reactions
76 Replies
7K Views
Wandugu, Baada ya kupewa kazi na Mh Rais ya kuwa wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba, wapinzani hawa wamekuwa kimya kabisa. Je ina maana kabla ya kazi hiyo walikuwa "loose" na kupata muda wa...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mchakato wa kubadili kanuni za Bunge ili ziendane na mfumo mpya wa bajeti. Hivi sasa bajeti italazimu kupitishwa kaba ya mwaka mpya wa fedha hivyo kikao cha bajeti kitaanza Aprili kama hivi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nawasalimu wana JF nilikuwa nimebanwa na kazi kwa mda mrerfu. Leo nimepata nafasi hii naomba niwasilishe mawazo yangu kwenu tuweze kuyajadili. Hapa ni kuhusu je chama kipi kinacho faa sasa...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
  • Closed
MGOGORO wa kidini unaoendelea kufukuta nchini unazidi kuchukua sura mpya, baada ya Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa bin Shaaban Simba, kuunda timu ya masheikh kujadili suala hilo. Timu hiyo ya...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Moja ya huduma ambazo huwaumiza sana wananchi ni usafiri wa kutumia taxi. Huduma hii ni muhimu sana mtu anapokuwa na dharura na hata kupeleka mgonjwa au mja mzito hospitalini. Utaratibu...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
:A S shade:M/kiti Taifa Mh.FREEMAN MBOWE ametoa onyo kali kwa uongozi wa wilaya ya Mbeya mjini kwa tabia ya kuwafukuza wanachama bila sababu za msingi alhali chama kinajitahidi kupata wanachama...
1 Reactions
77 Replies
7K Views
Back
Top Bottom