Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete, amefanya mahojiano maalum na Gazeti la JAMHURI nyumbani kwake Mikocheni jijini Dar es Salaam, Machi 30, mwaka huu, na kuzungumzia masuala...
13 Reactions
145 Replies
24K Views
Naibu Katibu wa Jumuiya ya wanafunzi ya chadema-Chadema Students Organization (CHASO) tawi la Ardhi, ambae pia ni mwanafunzi wa mwaka wa nne katika chuo kikuu cha ardhi kilichopo jijini Dar es...
0 Reactions
150 Replies
13K Views
Ndugu wana jf,nimefuatilia kwa makini vyombo vya habari siku ya leo ambapo masikio ya wengi yameelekea dodoma kikao cha bunge kuanza! Lakini kabla sijafika mbali naomba nieleweke kuwa katika nchi...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Leo katika viwanja vya TGNP malwegwanani wa loliondo wametoa tamko kwa umma wa watanzania .. naliweka tamko hivi punde .. wanadai hawajatawaliwa hata siku moja na hawako tayari kutawaliwa wako...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Ndugu Zanguni Nimesoma barua ile iliyowekwa hapa ikidaiwa kuwa imeandikwa na Mh Zitto na pia nimesoma maelezo yake hapa leo na kushangazwa sana na hizi double standards za CHADEMA , chama ambacho...
3 Reactions
133 Replies
9K Views
Mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa CCM,na Mjumbe wa Kamati ya Siasa Wilaya ya Nzega,Hussein Mohamed Bashe, amesema kwamba yeye haitumiki na LOWASSA kama ambavyo imekua ikisemekana! Akijibu swali...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA MINISTRY OF NATURAL RESOURCES AND TOURISM PRESS RELEASE Government clarifies on decision to provide huge tracks of land to Loliondo residents Thirty nine (39)...
0 Reactions
59 Replies
7K Views
Ni wa Iringa Adrian Mongo na Mke wake. Ni kutokana na wizi uliofanyiwa kampuni moja ya ujenzi ya kichina. Chanzo star tv habari Ili tukio sijui ni magumashi tena. Au la kweli? Wakazi...
1 Reactions
104 Replies
10K Views
Katika jitihada za kuokoa hali iliyofikia kuiita Maji kuzidi Unga kule Loriondo Wilayani Ngorongoro kufuatia wananchi na hasa wanachama wa CCM wilayani humo kufikia uamuzi wa kurudisha kadi za...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kipindi cha MKAPA mambo yalikua kama ifuatavyo. Raisi -Bebjamini William Mkapa Waziri mkuu - Fredrick Sumaye Jaji mkuu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwigulu, hivi wasomi,wakulima,akina mama wenye matatizo lukuki,wazee wa e.a.c,failures wa form four n.k waelewe nini toka kwako,unawafundisha nini watoto wanaohitaji kujifunza kutoka...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
JUMANNE, APRILI 09, 2013 05:20 NA MWANDISHI WETU, DODOMA *Wazuiliwa kujadili ripoti ya CAG *Zitto adai Bunge lageuka kibogoyo MBUNGE wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (CHADEMA), amesema kitendo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Chama cha Mapinduzi hakina dhamira ya kwel ktk kuhakikisha watanzania tunapata katiba mpya na iliyotungwa kulingana na mahtaji ya watanzania wenyewe.Kimejipanga kuchakachua maoni ya wapenda...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
MWAKYEMBE ASHANGAZWA NA ONGEZEKO KUBWA LA NAULI.... AMETOA AGIZO LA KUZUIA KUPANDA KWA NAULI ZA TRENI Tuesday, April 9, 2013 | 10:17 AM Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WANA JF, Kama kuna suala lolote unahisi lilikukera katika awamu hii ya uongozi iwe kisiasa, kiuchumi, kijamii n.k. embu tupia hapa, kuna tafiti ndogo inayofanyika kwa muda wa miezi minne.
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Huyu ni mtanzania wa pili baada ya Nyerere kuchukia ufisadi kwa vitendo. Ni mtanzania wa pili kuchukia umaskini wa watanzania kwa vitendo. Ni Dr. Slaa aliyesimama na kutaja majina ya wala rushwa...
4 Reactions
52 Replies
5K Views
Hili lilianguka wiki moja baada ya la kwetu na ripoti tayari, Sisi inakuwaje? au tunasubiri tume? India: Corruption Confirmed in Deadly Building Collapse Monday, 08 April 2013...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tukiangalia historia ya nchi yetu inaonyesha vijana ndiyo walikuwa chachu ya mabadiliko na kupelekea taifa hili kupata uhuru toka mikononi mwa wakoloni,lakini cha kushangaza vijana wa kisasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa mliofuatilia habari za hivi karibuni kupitia StarTV wananchi wa Bahi wanaishi katika hofu kutokana na mpango uliopo wa serikali kuanza uchimbaji wa madini hatari ya Uranium kwenye ardhi yao...
0 Reactions
54 Replies
7K Views
Nawasalimia wana JF. Nimekuwa nikijiuliza sana kwa kina hivi nchi yetu tunataka iwe kama nchi ipi? Je kama Kenya, USA, China, Uingereza, Afrika ya kusini, Naijeria au kama nchi ipi? Maana watu...
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Back
Top Bottom