By Songa wa Songa
The Citizen Reporter
Zanzibar. Tanzanian taxpayers would shoulder an unbearably heavy financial burden to cope with the upkeep of retired presidents if the age limit for...
Swala la kuchinja ni suala zito sana ambalo serikali yetu imeshindwa kulitolea tamko, ni jambo la kushangaza hata Rais wetu Jk alishindwa kulizungumza kama raisi, bali aliliongea kama raia wa...
Wiki moja baada ya Waziri wa Maliasili na Utalii, Khamis Kagasheki kugonga meza na kusema Serikali haitabadili msimamo wake kuhusu kuchukua ekari 1,500 za eneo la pori tengefu la Loliondo, timu ya...
CCM huwa ni bingwa wa kutojibu maswali ya wananchi, kukwepesha na kuhamisha hoja, sasa kabla hatujawalipa hawa watu lazima tuwajue kwa sura, ili mara nyingine wasije kuturubuni tena.
1. Tunataka...
watanzania kwasasa wapenda mabadiliko kwa kiasi fulani tumeingiwa na wasiwasi kufuatia muenendo wa chama ambacho tumekua tukikitumaini kwa muda sasa kama ndio chama mbadala, Chama cha Democrasia...
Wanajamvi,
Mtakumbuka kuwa Mr. Mkapa, BW alianzisha Mtwara Development Corridor na kila idara na taasisi za serikali zilipanga mipango yao yote kwenye kuutekeleza mradi huo. Takwimu na...
chama cha mapinduzi ambacho serikar yake ndiyo inayosimamia mchakato wa kuandikwa katiba mpya,kimeonekana kutokuwa na dhamira ya kwel ktk hilo.kina lengo la kuchakachua maon ya wananchi hasa yale...
Picha za Mkutano wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Katika kata ya Soitsambu Ngorongoro wamasai zaidi ya mia tano wamerudisha kadi za MaCCM kutokana na mgogoro.
Makamanda wakiwahamasishwa...
CCM walikuwa wamejipanga kuwafutilia mbali wanachadema wote walioomba uwakilishi kwenye mabaraza ya katiba. Mkakati wa wagombea wa chadema ikawa ni kujitambulisha kuwa wao ni wana CCM.
Mmoja wao...
Moja ya mawaziri waadilifu katika Cabinet ya JK ni huyu mzee wa watu, anajitahidi sana kuweka transparency katika wizara yake ile namuonea huruma sana kwani wasaidizi wake ni wasanii wote...
Peopleeeezzzzz!!!!!
CHADEMA wameshinda uchaguzi wa mwenyekiti wa serikali ya kijiji cha kwetui jimboni Bumbuli.
Katika uchaguzi huo mgombea wa CHADEMA alipata kura 196 dhidi ya mgombea wa...
Katika facebook yake Mwigulu ameandika kwa unafiki yafuatayo. Nasema unafiki kwa sababu huwezi kuitenganisha serikali ya CCM na CCM yenyewe.
Nawashukuru sana WAFUGAJI WENZANGU WA LOLIONDO KWA...
Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini SUMATRA imetangaza viwango vipya vya nauli za mabasi ya masafa marefu, daladala katika jiji la Dar es Salaam, nauli za usafiri wa reli ya kati...
#RBT parliamentary question postponed. Nimejulishwa na Mnadhimu mkuu wa Serikali kwamba Serikali haitaweza kujibu swali langu namba 3142 kuhusu biashara ya miito ya simu Kwa kutumia kazi za...
Kesho kikao cha bajeti kinaanza na katika hoja ambazo zitatikisa bunge ni swala la Loliondo ambalo Mh. Zitto kadai lazima waziri mkuu alifahamishe taifa kinachojiri
{Ingawa kunauzi unafanana nao ila haukuwa na uchambuzi yakinifu naomba uzi huu ujitegemee}
Luku zimekuja na Ongezeko la zaidi ya 700% ya garama za umeme kwa watumiaji wadogo wa chini ya unit 51...
Hebu wanajamvi tuzishughulishe akili zetu kama ma-great thinkers,Dk Slaa ambaye ni katibu mkuu wa CDM na Lowasa ambaye ni kada maarufu ndani ya chama chake cha CCM,wote wanatajwa na waandishi...
Heshima kwenu wadau
Mimi bado sitaki kuamini kile nilichokipost humu ndani kuhusu kauli ya Naibu spika Job Ndugai akiwa anahojiwa na shirika la utangazaji BBC alisema mpango wa kutokuonyesha...
Na Onesmo Olengurumwa - Imechapwa 05 January 2011
WAKAZI wa Ngororo, mkoani Arusha wako hoi kiuchumi. Wapo wanaosema, "Kesho hatujui itakuwaje." Wengine tayari wamekata tamaa ya maisha wao na...
CHADEMA imeendeleza harakati za M4C wilaya ya Ngorongoro Loliondo. Wamevuna wanachama wengi, huku Mwigulu Nchemba mkutano wake ukidoda, na kurudishiwa kadi za CCM hadharini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.