Kushoto Mwenyekiti wa UVCCM, Hamisi Juma Sadifa, Kulia moja ya matukio ya
umoja wa vijana kuzichapa kavukavu pale makao makuu ya umoja wa vijana CCM karibu na Fire
Ngumi chupuchupu CCM
Siasa za...
BARAZA LA VIJANA LA CHADEMA (BAVICHA) IRINGA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Baraza la Vijana wa CHADEMA (BAVICHA) Mkoa wa Iringa limesikitishwa na kitendo cha Kamanda wa Polisi Mkoa wa Iringa...
Viongozi wa serikali ya kijiji wa Chadema wilayani Simanjiro hanyimwa dhamana kwa kesi yenye dhama na kupelekwa
Magereza na hakimu wa mahakama ya mwanzo,baada ya kuongwa pesa na Ole Sendeka...
SALAMU KWA WANA JUKWAA.
Kwa kila Raia mwenye akili timamu kwa sasa anajua au kuona ni kwa jinsi gani mambo hapa nchini yanaenda.
Tunaweza sasa kusema CCM imekosa
uhalali wa kuongoza nchi.
Hii...
bandugu,
yaliyonikuta leo yamenithibitishia kuwa polisi wanaochunguza sakata la Lwakatare kushiriki vitendo vya kigaidi ama ni polisi wa CCM au wanasaidiana na CCM bega kwa bega kumgandamiza...
<font color="#000000">Wakuu heshima kwenu,baada ya kutafakari kwa kina,kutokana na CCM kuonekana hakuna mtu anayefaa kwa uraisi kadiri ya wanajamvi wengi,mimi leo nadiriki kusema Mh Benard Membe...
MH Mbunge wangu Juzi tulisikia kwenye vyombo vya habari kuwa ulikuwa Loliondo, kuchunguza tatizo la Mgogoro wa Ardhi Kati ya serikali na wananchi, umenukuliwa ukiwaahidi wananchi kuwa tatizo...
Ni muda sasa Tangu madiwani wa CHADEMA kutimuliwa kwa aibu ya usaliti wa CHAMA chao, na madiwani wawili wa CCM mmoja kuachia ngazi na Kujiunga na CHADEMA na mwingine toka kata ya Daraja 2...
Hivi wewe Jaji Kaijage na wewe ni fisadi au umelogwa,sasa ulichokifanya kumuachia mtoto wa Keenja ndio nini.Jamani mambo mengine ukisimuliwa katika mazingira ya kawaida huwezi kuamini kama...
Katibu mkuu wa Itikadi na Uenezi wa chama cha Mapinduzi (CCM) Comrade Nape Nnauye atakuwa na ziara ya kichama mkoani Kilimanjaro na wilaya zake.
Anategemea kufanya mikutano kadha wa kadha ya...
Ndugu hapa kuna kituko kingine, mwalimu umemkamata mwanafunzi kwa kufeli,na kwa mujibu wa kanuni za awali, kabla ya kurekebishwa eti zilikosewa,mwanafunzi amerudia mwaka au kudisko kwa ngazi ya...
Wanabodi:
Ni heshima kubwa kutoka kwangu kuja kwenu.
Ni kuhusu hawa Vijana: Wa Kike na Wa Kiume
Si nia yangu kuwaona kana kwamba hawa vijana wabovu au wasio na akili. Ni nia yangu na ni mapenzi...
Mchakato wa marekebisho ya kanuni za Bunge umeibua mjadala mkali baina ya wabunge, huku wengi wao wakieleza kuwa hatua hiyo ina lengo la kulifanya Bunge kukosa meno ya kuisimamia Serikali...
ni bahati mbaya lakini imeshatokea kuwa tume ya katiba kwa kujua au kutojua inawahujumu wakatoliki kwa kuweka siku z kupigia kura ya kuwateua wajumbe wa mabaraza ya katiba ya wilaya katika siku...
Niko tayari kuendelea kubakia wa mwisho katika kukumbatia mchakato mbovu wa kuandika Katiba Mpya, mchakato uliobuniwa, kusimamiwa na kuratibiwa na CCM na ambao matokeo yake ni kuhakikisha kuwa CCM...
Za asubuhi wana JF.
Naomba nianze kwa kumpa pongezi za kutosha shujaa wetu zitto kwa kupewa jukumu la kuendelea kuwaanika hadharani mafisadi kupitia PAC. Baada ya kufutwa kamati ya bunge ya...
Katika mtandao wake wa Twitter Zitto Kabwe as usual kaibuka na hoja ya kuwataka wabunge wajitolee posho yote ya siku moja kwa ajili ya Stars kama sehemu ya kupongeza ushindi wake wa hivi karibuni...
Mbunge wa Moshi mjini Mh.PHILEMONI NDESAMBURO kesho anatarajiwa kufanya mkutano wa hadhara katika viwanja vya SHABAHA mkabala na stendi kuu ya mabasi mjini moshi kuanzia saa nane mchana kuongea na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.