Mchina,Mwarabu na Mhindi

Mchina,Mwarabu na Mhindi

mazoo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
215
Reaction score
41
Naona tumehusudu sana watu hao nchini.
Wanaodrive agenda ya nchi hii ni hao watu watatu
1.Mchina-Amesign mikataba 17 ,ambayo mpaka mimi kama msomi sijui ni ipi?
-Mchuchuma na Liganga-watavuna iron ore and coal

2.Mhindi -ndio usiseme
-Subash Patel,Jeetu Patel,Yusuph Manji,Somaia hawa wametuliza sana

3.Mwarabu-Anatuingizia udini kinyemela.Angalia sana misaada yao !
-Kushirikiana na serikali ameweza kuchukua hata live animals.
-Wamepewa free country within Tanzania kuwinda.

Namweka na MIran vile vile!Huyu angetaka hata leo tuwe Islamic Republic.Can you imagine eti meli zake zinapewa flag yetu.

Mungu tuokoe Tanganyika aka Tanzania yetu
 
Wote hao wana mabomu ya nuclear watakapoaanza kuyatumia ,Tanzania itazama na kubaki historia
 
Mbona mzungu hujamuweka kwani hujui wanachofanya barrick,tanzanite one na dhahabu na tanzanite yetu au?u smell udini tu na ubaguzi mwarabu,mhindi,mzungu,mchina,mwafrikamwenzetu yeyote kati yao akiwa fisadi asitetewe wote funga jela maisha
 
udini ni tamaa ya cmm sio waarabu na mchina hawezi kuja tanganyika bila ya kupata mwanya na ccm
 
Back
Top Bottom