Bunge,Dodoma
Nataka kujua kwa sasabu kwa mwaka 2010 Kenya imekusanya dola 79 milioni, Uganda dola 36 milioni, Rwanda dola 14 milioni na Tanzania dola 1 milioni, kitu ambacho ni aibu,alisema...
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, amepata wakati mgumu kuwashawishi wabunge wakubali mabadiliko ya kanuni mpya zitakazotumika wakati wa mjadala wa bajeti. Hali hiyo ilitokea jana ndani ya Ukumbi...
MBUNGE wa Mwibara, Kangi Lugora(CCM) ameelezea wasiwasi wake kuwa wabunge wengi wa CCM watashindwa kurejea bungeni mwaka 2015 iwapo ahadi alizotoa Rais Jakaya Kikwete katika uchaguzi uliopita...
Madiwani wa Wilaya ya Mpanda mkoa mpya wa Katavi,wampinga mkurugenzi kwa utendaji m'bovu na kutaka ang'ooke,, soon habari kamili.
================
Mr.Arsenal
Madiwani Mpanda waandamana...
Visiwa vya Zanzibar vinashuhudia maeneo yake kuingiliwa na maji ya bahari na kuathiri sehemu za kilimo.
Tayari maeneo 148 yameingiliwa na maji chumvi na hayafai tena kwa kilimo.
Nini hatma yake...
Gazeti la Mtanzania limeripoti kuwa kamanda wa polisi kanda maalum ya Dar-es-salaam ameseme kuwa serikali haihusiki katika sakata hilo.
Kauli hiyo imetolewa wakati tume tume iliyoundwa kuchunguza...
Baada ya mkoa mpya wa SIMIYU kupatikana,kinachofuata sasa ni jitihada kubwa kuhakikisha kuwa mkoa wetu unainuka haraka kimaendeleo,Mkoa huu ambao kwa kiasi kikubwa unakaliwa na Wanyantuzu hauna...
Ndugu zangu wanaJamvi,
Nianze kwa kuwaomba radhi wapinzani wa Edward Lowassa bila kumsahau Mwandishi maarufu wa makala zinazofikirisha Bw. Mbwambo wa gazeti la Raia Mwema. Najua watakuwa...
Tuesday, April 9, 2013
The existing dilapidated main building of the Zanzibar Airport!
The architectural impression of the new Zanzibar Airport being built by the chinese!
By Victor...
Nachukua nafasi hii kuwapongeza marais wastaafu Mzee Mwinyi na Mkapa... Nawapongeza kwa sababu wametoa hisia zao kuhusu taifa hili ambalo waliliongoza kwa miaka kumi kila mmoja wao. Wamezungumza...
Ndg wanajf,
Nimesikitishwa sana na tabia ya katibu mkuu wa CHADEMA taifa kwa kuamua kufanya kazi ya kusambaza waraka wa pili na wa tatu wakati aliyoainisha ktk waraka wa kwanza ajatekeleza hata...
Katika kile kinachoonekana kuwa ni kukomaa kwa demokrasia vijana wanachama wa ccm chuo kikuu cha jordani wanatarajia kufanya uchaguzi wa viongozi wake wiki hii
wakati huo huo kada maarufu wa ccm...
Makamu ccm bara Vuai ALi Vuai ,amesema ZNZ ipo tayari kujiunga na OIC na kwamba suala la mafuta na gas halitakua la muungano!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Chama cha Mapinduzi...
Ukiangalia kwa jicho la juujuu Ni vigumu kugundua machafuko yaliyopo ndani ya chama cha kijani na hii inasababishwa na hali iliyodhahili kwamba Chama hiki kwa sasa Hakuna mwenye Sauti Kama...
Tue, Apr 9th, 2013
Tanzania
Zanzibar Revolutionary Government has been advised to convince their counterparts in the mainland to stop Bagamoyo port construction and instead build it in Zanzibar...
Kwanza kabisa ccm - hoyee, mie nakunwa sana Na majibu murUa Na makini toka Kwa viOngozi Wa chama langu ccm litalokufa rasmi 2015, WAKIONGELEA RASILIMALI ZETU.. Hebu tujikumbushe baadhi ya majibu...
Jana nilisikitika sana kusikia eti Odinga na Kalonzo Musyoka hawakuhudhuria kuapishwa kwa rais Uhuru Kenyatta. Alafu nakumbuka baadhi ya wanasiasa hasa wa upinzani nchini wamekuwa wakitumia mifano...
Vipi kama ingekuwa ni kiongozi yoyote kutoka chama cha upinzani anagawa pesa hovyo kama waziri mkuu aliye jiuzulu (mh. Lowasa)? Unaweza kujenga picha nini kingemtokea?
Lakini kwasababu anatoka...
Ndg Waziri
Umekuwa ukiwekwa kiti moto kuhusu elimu ya Tanzania kuwa ya ajabu,kwanza tumeshuhudia wanafunzi wengi wakifaulu wakiwa hawajui kusoma wala kuandika kitu ambacho ni aibu kwa Taifa
Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.