CCM B No 1 ni CHADEMA kwa sababu zifuatazo:
1. Viongozi wake wakuu wametokea CCM katika kipindi kile ambacho Nyerere alianzisha vyama feki kwa ajili ya kuua nguvu ya upinzani. Babu Slaa ni mfano...
Mweyekiti mtendaji wa makampuni ya IPP amewataka viongozi wa dini ya kikristo kuacha malumbano ya nani achinje.
Ili tuendelee na amani tuliyokuwa nayo..amewataka kuacha utaratibu uliokuwepo ili...
Swalia au hoja aliyouliza Mh Mkosamali juu ya mapato yanayotokana na makampuni ya simu ilikuwa na uzito lakini spika kwa mara nyingine tena siku ya kwanza ya kikao ameifinyanga kama napkin...
Ndg wana JF,
Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.
Mgeni rasmi ni...
Wanabodi, ile ripoti maarufu kuliko zote, ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (RIPOTI YA CAG), imetinga rasmi bungeni asubuhi hii, na kwa mujibu wa sheria mpya ya CAG iliyopitishwa...
Wiki jana tulichapisha sehemu ya kwanza ya mahojiano ya Ridhiwani Kikwete na kusihi wasomaji wasikose sehemu ya pili wiki hii. Sehemu hiyo ndiyo hii:
JAMHURI: Mitandao ya kijamii unaisoma...
Wa JF,
hakuna cha katiba hapo monduli katika kata 15 wote waliopita Hadi lowassa apitishe la sivyo hakuna, na wengine wao ni kwa shida hata wajue kusoma na kuandika maana wanasema wanaenda...
Kama kawaida kuanzia tar 2-10 kumekuwa na uchaguzi kuanzia ngazi ya kijiji na tar 7-10 april ngazi ya kata,katika kata ya dabaga diwani na wenyeviti waliamua kujifungia wao tu ofisini bila...
TAMKO LA WANAFUNZI WA JAMII ZA KIFUGAJI WASOMAO KATIKA VYUO VIKUU VYA MKOA WA IRINGA JUU YA SAKATA LA LOLIONDO DHIDI YA SERIKALI NA TASWIRA YA WAFUGAJI KOTE NCHINI
Taarifa kwa vyombo vya...
Sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta zimeisha, na katoa hotuba nzuri saana kuhusiana na uchumi, kwa kuzungumzia job creation, kwa ku add up value on their primary goods, na kuwepo kwa umeme wa...
Naomba bila kuzunguka Ndugu Naibu waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, uvitazame kwa jicho la pekee vyuo vya ualimu Tanzania kwani kuna matatizo makubwa sana.
Wafanyakazi hatujawahi pata fedha...
Aliyekuwa OCD (W) Arusha na baadae Staff Officer Mkoani humo Zuberi Mwombeji pamoja na maofisa wengine wa Jeshi la Polisi amepandishwa cheo na sasa ni ACP-Kamishna Msaidizi wa Polisi.
My take...
NAIBU Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Philipo Mulugo amesema atawafikisha mahakamani watu wanaodai kuwa ameghushi vyeti vya elimu ya sekondari. Mulugo alisema amechoshwa na kashfa hizo...
Waheshimiwa Mnyika, Zitto na Regia,
Salaam,
Naamini kabisa mtasoma na kuitikia ombi langu. Baada ya kusikia taarifa ya Mh. Makinda kuhusu posho za wabunge na upokeaji wa posho mara mbili ni...
Akizungumza kwa simu jana, Kagasheki ambaye pia ni Mbunge wa Bukoba Mjini (CCM), alisema Serikali imeamua kuchukua kilomita za mraba 1,500 kati ya kilomita za mraba 4,000 za eneo la Loliondo...
Mh mkuu wa wilaya ya mvomero hongera kwa kusimamia haki ya wananchi wa kijiji cha madizini pamoja,na hii imethibitisha kile wananchi na mkaguzi aliyekuja kukagua hesabu za kijiji kuwa ni sahihi...
Ndugu WanaJF
Nataka kutoa maoni yangu juu ya hali ilivyo sasa katika nchi yetu tukufu ya Tanzania.
Mambo mengi sana yametokea, yanatokea na yataendelea kutokea kwa kipindi kirefu sana. Nitatoa...
Watanzania,
Mbinu Pekee ya Kuimaliza CCM wakati wa Uchaguzi 2014 na 2015 ni kuanza harakati za kujiunga na kuisupport CCM kuanzia sasa, kuhakikisha vijana wengi wanapewa elimu na kuanza kujiunga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.