Eng. Y. Bihagaze
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,487
- 914
Kwanza kabisa ccm - hoyee, mie nakunwa sana Na majibu murUa Na makini toka Kwa viOngozi Wa chama langu ccm litalokufa rasmi 2015, WAKIONGELEA RASILIMALI ZETU.. Hebu tujikumbushe baadhi ya majibu hayo yaliyotemwa 2012/13, zinaweza zisiwe direct lakini ukisoma katikati ya speech zao wanamaanisha exactly hivi:-
1:- GESI
"Hawa wananchi wa Mtwara wanaolilia Gesi-Gesi, wanajua kweli Gesi ni madude gani au ushamba tu unawasumbua, huko Mtwara porini Gesi wataitumia Kwa kazi gani, toka uhuru hadi Leo wao wanajua Kuni tu sasa Gesi ya Nini, Gesi ije Kwa wajanja bongo.." made in Muhogo.
2:-Loliondo
"Kimji chenyewe Kina eneo la kilometre Za mraba 4000, sasa serikali kuizawadia kampuni ya uarabuni ya OBC, kijieneo kidogo tu Cha kilometa Za mraba 2500 tu ili wajiundie Kitaifa chao UAE iko mbaya ipi? Wivu tu Wa kibongo.. Embu acheni wajinome Kama hizo km Za mraba 1500 haziwatoshi kuishi hameni Nchi .. " made in Kagasheki.
3:- ULemavu Wa Ngozi
"Ni kweli Kama anavyosikitika mbunge hapa Kwamba serikali imewasaka Na kuwapata wauaji Wa faru aliyejulikana Kama George Na kushindwa kuwakamata wauaji wa watanzania wenye ulemavu wa ngozi, nasi tunaungana naye Kwenye masikitiko hayo lakini aelewe wazi kuwapata wauji wa walemavu wa ngozi ni Kazi kubwa Na ngumu kwa sababu Za kishirikina ambazo Vigogo wengi wa serikali hii ni wadau wake, Hata humu bungeni wapo si kuna mmoja alinaswa Na kamera akiroga kiti Cha Spika, hadi Leo kiti kile hakikaliwi kiko store.. Chezea uchawi wewe..!!" made in Pinda.
Embu weka majibu makini murua kama haya kutoka Kwa serikali ya Chama kinachokufa..