Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tumeendelea kushuhudia katika nchi za kidemocrasia ukiondoa nchi za kidikteta viongozi waadilifu wanaopendwa na wananchi wao ni rahisi mno kwa watoto wao kuja kugombea uchaguzi wa kidemokrasia na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wana jamvi,haya ni maoni na mtazamo wangu: Nionanyo mimi na kwa utafiti mdogo tu nilioufanya katika majimbo mbalimbali kuna uwezekano mkubwa sana zaidi ya asilimia 90 ya wabunge wa CCM hawatarudi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Wanabodi naomba kuweka wazi kwenu kero za muda mrefu wanazokabiliana nazo wakaazi wa Makongo Juu. Kiuhalisia Makongo juu ipo umbali wa Kilomita 2 mpaka 3 kutoka Mlimani city/Mwenge. ni kati ya...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Meya wa Manispaa ya Ilemela mkoani Mkoani Mwanza Henry Matata amesema kuwa uamuzi wa kuwafukuza madiwani watatu wa CHADEMA katika manipaa hiyo, upo pale pale. Madiwani hao wamekumbwa na sokomoko...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika kile kinachoonekana kama upofu wa viongozi wa kitaifa katika kufanya yawapasayo kuyafanya kwa ajili ya wananchi wote,Ofisi ya Spika wa Bunge imetamba kuwa itahakikisha kuwa Bunge la Bajeti...
2 Reactions
21 Replies
3K Views
ZITTO KABWE AELEZEA BARUA KALI ALIYOMUANDIKIA SPIKA MAKINDA!! "Nimeandika barua Kwa Spika wa Bunge kutaka Waziri wa Nishati na Madini kutoa maelezo Bungeni kuhusu uamuzi wake wa...
32 Reactions
93 Replies
12K Views
Leo nimefarijika sana kuisoma hotuba ya Freeman Mbowe ambayo amenukuu maneno mazito kutoka kwa baba wa Taifa. Nikakumbuka kujiuliza swali linalohusiana na hilo kwenye mawazo yangu nilipomsikia...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimefanya utafiti kwa kipindi cha siku 90 nimegundua asilimia 98.5% ya mijadala ya kisiasa kwenye jukwa la siasa imejikita katika kujadili ustawi na maendeleo ya chama kikuu cha upinzani nchini...
5 Reactions
80 Replies
7K Views
- Aonekana kwenye gari lililohusika kuhamisha madini hayo - Sajini atumia Land Cruiser kusindikiza mali hadi kwenye yadi - Washirika wao waruka ukuta kukimbia Polisi, wanaswa wote OFISA...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Tanzania kwa ujumla sasa yaanza kubadilika, na kwa sasa wananchi wameanza kutambua haki zao,Huku Lushoto, katika uchaguzi ulifanyika jana katika eneo la kijiji cha Kwekitui katika jimbo la Bumbuli...
12 Reactions
49 Replies
8K Views
Mwanzoni nilikuwa na matumaini makubwa sana na CHADEMA, hadi kufikia mwaka 2010 nikawapigia kura akiwepo Mnyika ilihali nikiwa bado na kadi ya CCM. Nilifikiri mwaka huu labda ningejiunga kabisa...
8 Reactions
147 Replies
10K Views
Warioba usiwe mzee wa kuogopa mapya Wakati Wajumbe wa Barazala la Wawakilishi wakitoa maoni yao mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba hasa wale waumini na watetezi wa Muungano wa Mkataba...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa kazi nzuri iliyofanywa na Bukoba wadau na wengineo hotuba ya Kagasheki hii hapa Jinsi alivyomshughulikia Meya kupata Uraia........... Uoga kuhusu Dr Slaa na Uraia wa kupewa wa Meya. Video...
16 Reactions
139 Replies
13K Views
  • Closed
Sunday, 17 February 2013 RAIS mstaafu wa awamu ya pili, Alhaj Ali Hassani Mwinyi amewataka viongozi wa kidini nchini kuihami amani na utulivu inaotishiwa kuvurugwa na misukosuko ya kidini...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
Ndugu zangu wana JF nawasalimu katika jina la Tanzania! Kwanza ningependa kuwanukuu wahenga waliposema dalili ya mvua ni mawingu, kheri kujikwaa...
0 Reactions
40 Replies
3K Views
Jibu rahisi ni HAPANA hawafanani! bado niko katika kutafakari juu ya nani ni afadhali ya mwenzie. Kwa mwenendo wa matukio haswa ya KIMAFIA yanayotokea yananipelekea kuichambua historia ya ukombozi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama Tusipo UUA UCCM NA UCHADEMA Basi TUNAIUA NCHI YETU WENYEWE Mara nyingi nimekuwa nikijitambulisha mimi kama mtu mwenye fikra huru ambaye sija najisiwa na uchama wa chama chochote katika...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mahakama ya Rufani ya Tanzania imeiamuru TANESCO kuilipa DOWANS takribani bilioni 90. Ni baada ya DOWANS kufanikiwa kuweka pingamizi la kisheria dhidi ya TANESCO waliojaribu kupinga utekelezaji wa...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Tanzanian govt fails to collect a half of the telecommunication revenues that Rwanda collects and the total population of Rwanda resembles that of Tanzania's Vodacom subscribers -Mkosamali (MP)
0 Reactions
61 Replies
8K Views
Wafanyakazi na watu wengi wamekuwa wakidai kupandishwa kwa mishahara kama suluhu la kupunguza au kuondoa ugumu wa maisha. Mimi nina mawazo tofauti na hayo. Kama ingekuwa kupanda kwa mishahara ndio...
4 Reactions
36 Replies
5K Views
Back
Top Bottom