Hotuba ya Uhuru Shule kwa Viongozi wa Bongo

August

Platinum Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
10,970
Reaction score
7,138
Sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta zimeisha, na katoa hotuba nzuri saana kuhusiana na uchumi, kwa kuzungumzia job creation, kwa ku add up value on their primary goods, na kuwepo kwa umeme wa uhakika, wakati sisi tuna zungumzia picha za mji mpya wa kigamboni, kawe, manzese, temeke, bila kuwa na umeme wa uhakika na vijana kibao wasio kuwa na kazi na pato la taifa likiwa haba, tukiungwa mkono na foleni barabarani na kumilikisha loliondo kwa obc
 
Watakuita gaidi wewe! Shauri yako utapigwa na kitu chenye ncha kali toka angani.
 
ni maneno hata 2005 yalisemwa just wait for utekelezaji ujionee mieleka.
 
Kama una soft copy tuwekee humu jamvini tuijadili tafadhali.
Sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta zimeisha, na katoa hotuba nzuri saana kuhusiana na uchumi, kwa kuzungumzia job creation, kwa ku add up value on their primary goods, na kuwepo kwa umeme wa uhakika, wakati sisi tuna zungumzia picha za mji mpya wa kigamboni, kawe, manzese, temeke, bila kuwa na umeme wa uhakika na vijana kibao wasio kuwa na kazi na pato la taifa likiwa haba, tukiungwa mkono na foleni barabarani na kumilikisha loliondo kwa obc
 
Sherehe za kuapishwa Uhuru Kenyatta zimeisha, na katoa hotuba nzuri saana kuhusiana na uchumi, kwa kuzungumzia job creation, kwa ku add up value on their primary goods, na kuwepo kwa umeme wa uhakika, wakati sisi tuna zungumzia picha za mji mpya wa kigamboni, kawe, manzese, temeke, bila kuwa na umeme wa uhakika na vijana kibao wasio kuwa na kazi na pato la taifa likiwa haba, tukiungwa mkono na foleni barabarani na kumilikisha loliondo kwa obc

Blah blah blah Blah!! Nafikiri umesahau Hotuba ya Bw. Kikwete, na mambo mengi mazuri aliyoahidi, kuanzia umeme wa uhakika, Reli ya kati na ya Tanga- KLM. Meli mpya kwenye Maziwa yetu yote makuu 3, Udhamini kwa Wanafunzi wote wa Vyuo vikuu, kwa kifupi Maisha Bora kwa kila Mtanzania!

Usidanganyike na hawa wanasiasa uchwara kama akina Bw.Kenyata, nakuhakikishia Kenya hapo wamepata msanii JK wao,
hayo yote anyoahidi ni mangapi alitekeleza Serikali iliyopita? Kumbuka alikuwepo Serikalini na hakuwa tu Waziri wa kawaida bali alikuwa Waziri wa Fedha na pia Makamu wa Pili wa Raisi, sasa kafanya mangapi?

Usidanganyike, Kiongozi bora hawezi kupatikana kwa njia ya kura hata siku moja, mtasubiri mpaka Bw.Yesu au Bw. Muhamad warudi!
 
Porojo tupu,eti laptop kwa kila mwanafunzi! May be lets wait,yetu macho.
 
TAARIFA: Hakuna matarajio ya mohamad kurudi so kama hiyo ndo reference then wakenya wasitarajie jipya. ila msini-quote
 
ni maneno hata 2005 yalisemwa just wait for utekelezaji ujionee mieleka.

nilikuwa kenya 2006 na wiki iliyopita nilikuwa huko,hawa jamaa wako makini na wanachosema ,sio kama ------ wetu
 
even jk alipotoa hotuba yake watu waliamin amejiandaa kuwa rais,na LEO AMEAMUA MWENYEWE KUJIITA BWANA MAENDELEO

Huwezi kulinganisha IQ na uelewa wa uhuru na galasa jk....uhuru is good by far and he mean what he is saying...sio huyu failure wetu kila kitu anataka prestige hata kwa impossibilities...
 
Back
Top Bottom