Zitto Kabwe ndani ya Iramba kumvuruga Mwigulu Nchemba

Godfrey Mushi

Member
Joined
Feb 26, 2013
Posts
75
Reaction score
41
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba
 
Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?
 
kuweni makini na vijana wala viroba watakao tumwa na Nchemba kuja kuvuruga mkutano.kumbukeni mkutano wa Mnyika kata ya Ndago
 
Ndg wana JF,

Tayari tumepokea kibali kutoka polisi cha kufanya mikutano wa hadhara ktk jimbo la Iramba Magharibi. mikutano hii itafanyikia ktk kata ya Shelui na mji wa Kiomboi.

Mgeni rasmi ni ZITTO Z KABWE. Zitto anatarajiwa kutua Iramba kesho asubuhi akiwa na KITILA MKUMBO, MWITA WAITARA na MAKAMANDA WENGINE. Mkutano wa Shelui utakuwa na ajenda ya madini.

Ugeni huu unafika kipindi ambacho Wilaya ya Iramba hakuna umeme siku ya tano sasa hivyo ni wakati mzuri kwa wanairamba kujua nani ni mtetezi wao kwani mpaka sasa hakuna jitihada zozote za kumaliza tatizo hili wakati wawakilishi wao wakiwa kimya.

Karibu Zitto Kabwe, karibu makamanda!

By G. J. Mushi, M/kiti BAVICHA Wilaya ya Iramba

asante kamanda mushi kwa taarifa nzuri kwa wakati huu taarifa ya kujenga chama ni muhimu kuliko wakati wote hususani huko walipohamua kupeleka elimu ya uraia coz wamefungwa kwa muda mrefu ni muda wa wao kuwa huru
 
Awaambie kwamab siku hizi mbunge wao amgeuka father xmas akigawa fedha na kuhangahika na wataalamu wa still picture na mnato!Mchumi daraja la 1st bwana!
 
ZITTO ni zitto tu hakuna figure nyingine nayo ikubali kama kabwe zitto CDM hata ninywe dawa sijawakubali wengine na kwa mtizamo wangu mpaka kieleweke zitto na ndoto za uraisi nitampa kura kuliko waliotangulia CDM wote
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...
 
aah, matatizo ni kila sehemu hata huyo zitto jimboni kwake kuna kero hajazitatua!!
 
Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?

mkuu acha kuhamisha mada,kama vp uwe mtazamaji tu.
 
Wewe ni moja ya wahamisha mijadala! So cheap!

Huyo ndiye Zitto bhana, wanazi wa CHADEMA hawamtaki, wana-CCM wanapenda kumtumia lakini haoni wala kusikia!!! No wonder hata Ben Saanane hamjui....atamjua vipi wakati anafumba macho!!!?
 
Safi sana Zitto kamtwangwe kotekote @mwingulu nchemba lazima achanganyikiwe safari hii!

Viva chadema
 
Last edited by a moderator:
Asante kamanda kwa taarifa,tunatarajia kujuzwa yatakayokuwa yanajiri kwenye mikutano hiyo.
 
Wewe ndio unataka kuamisha mjadala hapa, kama Mwigulu Nchemba ameshindwa kudai umeme unategemea nini? Serikali ni dhaifu acha Zitto akawa vue nguo!

Si shangai unayo yasema maana mmepanga kujiteka mseme ni chadema!
Mmeahindwa kuwaletea watanzania maendeleo mnasema chadema!

Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...
 
Last edited by a moderator:
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

Nashangaa na nitaendelea kushangaa mpaka siku ya kufa kwangu kwa mtu mmoja kugeuka shetani ndani ya chama ambacho yeye ni kiongozi bado sijajua ramani ya ubongo wa mtu huyu anaeandika mabaya ya chama chake na bado akawa kwenye chama hichi na katika nafasi kubwa,huyu bindamu anajipindua kama kinyonga mission ya huyu anayejidai kulalamikia chama akiwamo ndani nini haswa ni miaka saba sasa tangu aanza kukandia chama chake kwa kuandika kwenye mitandao ,kutoa kauli chafu kwenye yombo vya habari,kuchonganisha viongozi wake na jamii,mbona chadema haijafa,kaka ungepumzika kidogo roho ya ubaya inakupunguzia umri na hakika uso wako unachoka kwa sababu una multiple personalities
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

hebu tuwekee hizo hujuma za chadema tuzione...sio unaropoka tu bila ushaidi.!!!
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Mkuu jaribu kuwa mpole tu dawa iwaingie,kesho ni ZZK nitaleta live updates kwa mikutano yote miwili.GAMBA LA KENGE MKUBWA.
 
Baada ya Lindi,Mkoa wa singida ndio wananchi masikini wa kutupwa ingawa kuna dhahabu,mbao,asali,kilimo alizeti,pamba,mahindi,vitunguu,ng'ombe,mbuzi
 
Wewe ndio unataka kuamisha mjadala hapa, kama Mwigulu Nchemba ameshindwa kudai umeme unategemea nini? Serikali ni dhaifu acha Zitto akawa vue nguo!

Si shangai unayo yasema maana mmepanga kujiteka mseme ni chadema!
Mmeahindwa kuwaletea watanzania maendeleo mnasema chadema!

Mtanzania AMKA, toka kwenye usingizi.

Dr. Slaa anasema ana vijana wa Usalama wa Taifa ambao wanaripoti kwake na wanampa siri za Usalam wa Taifa.

Unangoja mpaka Dr. Slaa aje tena jukwaani kukwambia kuwa ana vijana Tanesco ambao kazi yao ni kuhakikisha wanazima umeme wiki nzima kabla ya vikao vya chadema?

Msimhusishe Zitto na mchezo huu anaoufanya Dr. Slaa...
 
Mushi,
Acha kumchafua Zitto.

Unaposema kuwa umeme umekatika siku tano na kwamba huo ni wakati MZURI kwa Zitto kuja kuhutubia unataka kufanya Zitto aonekane amehujumu huduma hiyo ya umeme ili apate mvuto.

Zitto hawezi kuhujumu wananchi, ingawa ni kweli kuwa ndani ya chadema kuna mikakati mingi inayofanywa ya kuhujumu shuguhli za maendeleo na huduma za kijamii ili chadema ipate cha kuongea.

Tafadhali rekebisha tangazo lako. Usikubali kutumika kumchafua Zitto...

mkuu wacha kumwekea bw mushi maneno.ninaamini umeelewa vyema ujumbe ila unataka kudilute uzi.zitto ahusiki na umeme ila kwa kipindi chote ambacho wana iramba wamekaa bila umeme hawajawahi kusikia kauli toka kwa mbunge wao usichoelewa nini hapo?
 
Back
Top Bottom