PICHA: Dr. Slaa kwenye kikao na CEO Round Table - Kempinski Hotel

Informer

Platinum Member
Joined
Jul 29, 2006
Posts
1,628
Reaction score
6,816
Akiwa amekutana na CEOS wa makampuni makubwa nchini kuzungumzia PPP na akitoa briefing kwa Media.

Kushoto mwa Dr. Slaa katika picha ya kwanza na pili ni Ali Mafuruki, Mwenyekiti wa CEOs Round Table
attachment.php
 
Attachments

  • photo(7).JPG
    photo(7).JPG
    422.7 KB · Views: 6,991
  • photo(8).JPG
    photo(8).JPG
    422.7 KB · Views: 1,371
  • photo(6).JPG
    photo(6).JPG
    598.6 KB · Views: 1,049
Background
The CEO Roundtable is a policy dialogue forum that brings together CEOs of over 70 of the top companies doing business in Tanzania. The members of the Roundtable and the companies they lead account for more than 40% of the tax revenue collected by the Government of Tanzania.

From the beginning when the idea of a Roundtable was first conceived by a small group of CEOs sometime in 2000; the objective was to create a forum through which the captains of industry, commerce and agriculture in Tanzania could constructively engage the Government, its development partners and other stakeholders with a view to creating a more conducive environment for business to prosper and for the country to develop in an atmosphere of peace and tranquillity.

This came about as the founders of the Roundtable realized that Tanzania as a nation was still learning to work in a tumultuous and fast changing world characterized by globalization, democratization and civil unrest almost everywhere you look. They realized that much as there was political will on the part of the Government to allow the private sector to lead the economic development process, the multitude of Tanzanians who continue to wallow in abject poverty were still vulnerable to political demagogues and rabble rousers who could exploit their condition to roll back the economic and political gains of the past two decades since Tanzania formally embarked on the path of reform.

As a way of exercising positive influence on government policy, the Roundtable leadership at the time organized regular meetings of the leading CEOs numbering about 25 during the early days and during these meetings, a dialogue ensued among the CEOs aimed at identifying the key obstacles to economic growth. The idea here was to work out solutions to the problem and discuss these solutions with the
Government in the spirit of partnership.
 
Mada ilikuwa inahusu nini.

Umeambiwa alikuwa anazungumzia PPP , KWA kilugha ni Private Public PArtinership , nini msimamo wa CHADEMA kwenye hilo.

Wameshiriki CEO' s wa makampuni makubwa nchini ukitaka kuwajuwa washiriki tembelea website yao ama Google Ceos round table in Tanzania
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum.

Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!

Mi huwa namshangaa hata vikao vya bodi ya CCBRT anaingia na migwanda!!!

Halafu huo mfuko alivyouweka kihuni nadhani lengo ili aonekane mtoto wa mjini, kumbe ndio kwanza anaonekana yuko rough tu!!!

Migwanda hii ndio alitegemea watanzania wamtume akawawakilishe kwenye world economic forum na UN general assembly?!!!

Mbona Mbowe ambaye ana hisa nyingi zaidi kwenye chama kuliko yeye "wakuja" huwa anajua kuchagua mavazi yanayoendana na matukio!!! Yaani WAKUJA anajifanya msongo kuliko hata wenye chama chao!!!
 
Naibu Katibu mkuu atampa ushauri na kumfanyia shopping ,leo unaona Mbowe ndio amejitolea sana kujenga chama mbona siku zote unasema ni wewe umejitoa na damu yako
 
Anayevaa suti zakuhongwa akaonekana kavaa mbona inchi inamuishia mikononi anaiona? anatusaidia nini tofauti nakutugawa watanzania pamoja nakuuza kila kilichopo?
 
Maumivu ya kichwa huanza taratibu, meza panadol.......hili tangazo limenifanya nikuelewe kuwa hukujua kama atapatiwa fursa hiyo , mlifikiri mmehodhi makampuni yote , kumbe nao wameshawashtukia na kujua wapi kunakucha....
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum.

Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!

Mi huwa namshangaa hata vikao vya bodi ya CCBRT anaingia na migwanda!!!

Halafu huo mfuko alivyouweka kihuni nadhani lengo ili aonekane mtoto wa mjini, kumbe ndio kwanza anaonekana yuko rough tu!!!

Migwanda hii ndio alitegemea watanzania wamtume akawawakilishe kwenye world economic forum na UN general assembly?!!!

Mbona Mbowe ambaye ana hisa nyingi zaidi kwenye chama kuliko yeye "wakuja" huwa anajua kuchagua mavazi yanayoendana na matukio!!! Yaani WAKUJA anajifanya msongo kuliko hata wenye chama chao!!!

Anahitaji kuambiwa kama anaambilika.

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum.

Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!

Mi huwa namshangaa hata vikao vya bodi ya CCBRT anaingia na migwanda!!!

Halafu huo mfuko alivyouweka kihuni nadhani lengo ili aonekane mtoto wa mjini, kumbe ndio kwanza anaonekana yuko rough tu!!!

Migwanda hii ndio alitegemea watanzania wamtume akawawakilishe kwenye world economic forum na UN general assembly?!!!

Mbona Mbowe ambaye ana hisa nyingi zaidi kwenye chama kuliko yeye "wakuja" huwa anajua kuchagua mavazi yanayoendana na matukio!!! Yaani WAKUJA anajifanya msongo kuliko hata wenye chama chao!!!

Hoja nyingine za kishamba kweli kweli.

Kikao kililenga/kilikua na ajenda mojawapo ya yeye kutoa position ya CHADEMA.Kombati ina madhara gani hapo.Huoni correlation?

Extrimist?Basi ma-extrimist na maadui wakubwa wa CCM na sera zake ndiyo wanaofaa kama ANC na Mandela dhidi ya makaburu na sera zao

Hakuna nafasi kwa marafiki wa CCM waliojifanya upinzani.Ukiwa rafiki wa CCM ukiwa mpinzani wewe basi ni toothless na ni adui wa mabadiliko.No compromise!
 
Naibu Katibu mkuu atampa ushauri na kumfanyia shopping ,leo unaona Mbowe ndio amejitolea sana kujenga chama mbona siku zote unasema ni wewe umejitoa na damu yako

Mbowe was their enemy before 2010 election , but from there is Dr.Slaa, na hilo ndio linawafanya muumbuke .....
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum.

Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!

Mi huwa namshangaa hata vikao vya bodi ya CCBRT anaingia na migwanda!!!

Halafu huo mfuko alivyouweka kihuni nadhani lengo ili aonekane mtoto wa mjini, kumbe ndio kwanza anaonekana yuko rough tu!!!

Migwanda hii ndio alitegemea watanzania wamtume akawawakilishe kwenye world economic forum na UN general assembly?!!!

Mbona Mbowe ambaye ana hisa nyingi zaidi kwenye chama kuliko yeye "wakuja" huwa anajua kuchagua mavazi yanayoendana na matukio!!! Yaani WAKUJA anajifanya msongo kuliko hata wenye chama chao!!!

Couldnt agree more.....
 
Hoja nyingine za kishamba kweli kweli.

Kikao kililenga/kilikua na ajenda mojawapo ya yeye kutoa position ya CHADEMA.Kombati ina madhara gani hapo.Huoni correlation?

Extrimist?Basi ma-extrimist na maadui wakubwa wa CCM na sera zake ndiyo wanaofaa kama ANC na Mandela dhidi ya makaburu na sera zao

Hakuna nafasi kwa marafiki wa CCM waliojifanya upinzani.Ukiwa rafiki wa CCM ukiwa mpinzani wewe basi ni toothless na ni adui wa mabadiliko.No compromise!

Kirusi detected
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum. Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!
Anayevaa suti zakuhongwa akaonekana kavaa mbona inchi inamuishia mikononi anaiona? anatusaidia nini tofauti nakutugawa watanzania pamoja nakuuza kila kilichopo?
.....taarifa za Mtandao wa Wikileaks zinazodai kuwa Rais wa JMT Mh. Kikwete alinunuliwa suti tano huko London na aliyekuwa mmiliki wa hotel ya Kilimanjaro Kempinski.
Source: Chanel ten
NOTE: Thread inayoonyesha kilichoandikwa na WikiLeaks ni hii hapa - https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...ease-on-tanzania-tanzania;-august-2011-a.html

"Albwardy had recently flown Kikwete to London for a subsidised shopping expedition. Among other things, on that trip Ali Albwardy bought Kikwete five Savile Row suits. He had also recently made a $1 million cash contribution to the CCM (which is a legal contribution under current Tanzanian law)."

Baada ya majibu hayo hapo juu sidhani kama mtu muungwana ataomba majibu ya nyongeza!
 
Slaa inabidi ajifunze kuvaa nguo maalum kwa tukio maalum.

Kwenda na migwanda kila mahali kunamfanya aonekane extremist!

Mi huwa namshangaa hata vikao vya bodi ya CCBRT anaingia na migwanda!!!

Halafu huo mfuko alivyouweka kihuni nadhani lengo ili aonekane mtoto wa mjini, kumbe ndio kwanza anaonekana yuko rough tu!!!

Migwanda hii ndio alitegemea watanzania wamtume akawawakilishe kwenye world economic forum na UN general assembly?!!!

Mbona Mbowe ambaye ana hisa nyingi zaidi kwenye chama kuliko yeye "wakuja" huwa anajua kuchagua mavazi yanayoendana na matukio!!! Yaani WAKUJA anajifanya msongo kuliko hata wenye chama chao!!!
Hivi usipomsema Dr slaa hulali? Ccm wenyewe ni nani na wakuja ni akina nani? Hizi ndo siasa za majitaka na za kibaguzi tunazoziongelea kila siku. Kwanini hujiachi. Dr slaa ana mke, kila anavyovaa ujue makazi wake amemchagulia vazi,lo!
 
Back
Top Bottom