Zitto, Ulimwengu, Shivji na Jaji Mkuu wa Kenya ndani ya Nkrumah Hall - ITV Live

Ta Muganyizi

R I P
Oct 19, 2010
5,361
2,734
Mh. Zitto yuko Live kwenye tamasha la Kigoda cha Mwl. Nyerere..........anaongelea Azimio na maadili ya viongozi. Fuatilia............

Mjadala unaendeshwa na Generali Ulimwengu, mbele yuko Zitto na Dada mmoja hivi..wanalumbana lakini kwa hoja

Update:

Ulimwengu anasema Tanzania ni nchi ambayo ina kampeni ya Kilimo kwanza lakini hakuna kiwanda cha kutengeneza jembe, panga au shoka wala mundu.!!!!
 
Kingunge Ngombale M...anatoa fact za maadili ya Viongozi.............anasema mambo mengi yamekiukwa
 
Prof.Wangwe anazungumzia na kusifia development vision 2015,je huu mpango unatekelezwa kweli?
 
Mh. Zitto yuko Live kwenye tamasha la Kigoda cha Mwl. Nyerere..........anaongelea Azimio na maadili ya viongozi. Fuatilia............

Mjadala unaendeshwa na Generali Ulimwengu, mbele yuko Zitto na Dada mmoja hivi..wanalumbana lakini kwa hoja

Update:

Ulimwengu anasema Tanzania ni nchi ambayo ina kampeni ya Kilimo kwanza lakini hakuna kiwanda cha kutengeneza jembe, panga au shoka wala mundu.!!!!

ZZK Mbeya ilikufa?
 
Sasa ccm badala wawe wa mwanzo kufika wanajificha hawatokei wakati mwalimu nyerere walimtambulisha kwa wananch miaka ile wakati sisi hatukumjua.wamelaaniwa watu hawa na hawana sifa tena ya kuongoza tena
 
Back
Top Bottom