Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 52,553
- 119,066
Wanabodi,
Bado niko mjini Dodoma ili kushudia Uzinduzi wa Bunge la Kumi utakafanyika siku ya Alhamisi tarehe 18/11/2010.
Nasema limeanza with wrong step, kuhalalisha ubaguzi wa kijinsia kwa kisingizio cha affimative action cha kutaka 'Spika Mwanamke'!. This was a wrong move!. Akizungumzia sababu za kumpiga bosi wake, connection ya mafisadi, etc, Spika Makinda amejibu with confidence, no connection, ila amejikanyaga pale alipokiri kuwa kama Sitta angepitishwa, yeye angejitoa, which means alishakuwa tipped Sitta hapitishwi!.
'Politics is indeed a dirty game'!.
Not only a wrong move, but also a wrong start, kwanini lizinduliwe Alhamisi, wakati lingeweza kabisa kuzinduliwa J.4! na biashara ikaisha, watu tukaendelea ma mambo mengine?.
Sio kwamba nauliza swali, bali ni poor planning tangu mwanzo. Mwanzo ilikuwa lizinduliwe Jumatano, lakini kwa vile itaangukia sikukuu, sasa litazinduliwa Alhamisi. Hivi Jumatatu na Jumanne wabunge watakuwa wanafanya nini?. Jumatatu is a waste completely, kwa mtu asiye na shughuli yoyote kuishi Dodoma siku 3 with nothing to do, is a waste!.
Jumanne ndipo jina la Waziri Mkuu litafichuliwa na kupitishwa na Bunge, ataapishwa Alhamisi asubuhi, rais alizindue Bunge Alhamisi jioni. Why all this drag?.
Bad time management ni dalili ya kwanza ya a wrong start, Jina la PM lilitakiwa liletwe Jumatatu, lipitishwe, Jumanne asubuhi aapishwe, jioni Rais alifungue bunge, Alhamisi atangaze cabinet, Ijumaa/Jumamosi liapishwe.
Sio siri niko frustrated a bit na haya maroroso ya mwanzo mwanzo.
Paskali