According to the Affidavit sworn by ACP AMIN MAHAMBA, during the investigation, he received information from the intended prosecution witnesses that the Respondent's associates are planning to...
Wapinzani wa Tanzania bila polepole kuongea hawana hoja, zamani walikuwa wanamfatilia Mange kimambi Sasa naona wameona hoja zake ni zakitapeli, Mpina sijui wameishia wapi 🤣
CCM inaingia kwenye...
Katika uhalisia samia alianza vizuri na alikuwa na njia zote za kujenga akubalike kama raisi ambapo hata tungeweka tume huru angeshinda lakini amefanya makosa na amechagua njia mbaya inayomchafua...
Wakili Mkuu wa Serikali amewekà mezani kwa Hakimu kwamba kesi inatoendelea ya Lisu anayeshtakiwa mbele ya Mahakama za Tanzania isioneshwe live, inaleta tafsiri gani kwetu wananchi?
Mtazamo wangu...
Hamjambo!
Unajua kuna watu wanadunia ya peke Yao. Hasa kwenye hawa Vituko Show, au Futuhi.
Kina Yericko Nyerere na wenzake ni watu wenye vipaji bora sana katika ufutuhi na standup comedy. Coy...
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Samandito Gombo, akiambatana na Mgombea wake mwenza Husna Abdallah, leo Agosti 13, 2025, amechukua fomu ya...
Kwa hali ilivyo na 'maandalizi' ya uchakachuaji uchaguzi, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kilishashinda uchaguzi hata kabla ya kupiga kura.
Ili kuepuka kutupotezea fedha na muda, nashauri Tume Isiyo...
Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty amesema Sheria ya Gharama za Uchaguzi haijaweka ukomo wa kuchangia fedha za uchaguzi na kwamba sio lazima fedha walizochangisha CCM zote zitumike kwenye...
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa...
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu...
Nimeona katika Channel Ten polisi wametoa ripoti kwamba marehemu Ally aliyeuawa katika maandamano ya Chadema Morogoro amefariki kutokana na kugongwa na kitu kizito sio risasi, hiyo ni baada ya...
Vijana wengi wa umri huu watakuwepo Tanzania kwa miaka 40! Sasa serikali ikifanya hivi inatengeneza jamii gani kwa miaka 40 ijayo. Samia hazidishi miaka 5 anaondoka !! tafakari hili. Kuna ambao...
Kwa namna walivyokomaa Nadhani Chadema wanaweza kupata ufuasi mkubwa kwenye chaguzi ndogo
Nakumbuka ya Lyatonga Mrema na Cisco pale Temeke
Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🙏
Asante mungu leo ni wiki moja toka tumemaliza uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga nikiwa salama kabisa ,tofauti na watu wengi wanavyodhani uchaguzi mdogo uwe wa udiwani ama ubunge hapa kwetu...
1. Januari 5, mwaka jana, saa tano wakati Jeshi la Polisi mkoani Arusha lilipoamua kutawanya maandamano ya wafuasi na mashabiki wa Chadema walioandamana kilomita moja kutoka Hotel ya Mount Meru...
Wakuu!
Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo.
Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo...
Wakuu,
====
katika kipindi hiki cha uchaguzi baadhi ya vyama vimekuwa vikigawa vyakula kama vile (Ubwabwa) vinywaji na zawadi zingine kama vitenge tisheti, baisketi, pikipiki kwa wananchi...
Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.