Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Niwe mkweli, public reception ya Mpina haijawa kubwa kivile kama ilivyotegemewa. Hii ni tofauti na public reception waliyopata Maalim Seif alipoanzisha KAMAHURU na baadaye CUF, Mrema kuhamia NCCR...
10 Reactions
22 Replies
1K Views
Wakuu mnakumbuka ilikua ni Leo Majaji kuamua Suala la Samia kujiteua kua Mgombea ?. Majaji wametishiwa na wametishika
1 Reactions
5 Replies
773 Views
NDUNA ALIYETIKISA HIMAYA YA WANGONI SONGEA Katika historia ya Songea mkoani Ruvuma kuna nyota moja iliyong’aa kupita zote Nduna Songea Luwafu Mbano aliyeuawa kikatili na wajerumani mwaka 1906...
0 Reactions
0 Replies
413 Views
Kwenye kura za maoni asilimia kubwa RUSHWA ilitumika sana na hii haina mjadala kila mtu aliona. Wengi waliopita waliwanunua wapiga kura na kuwaacha wale walio na uwezo kwa kukosa fedha za...
1 Reactions
1 Replies
338 Views
UKARABATI WA MV. MAGOGONI KUKAMILIKA DISEMBA 2024 Ukarabati wa Kivuko cha Mv. Magogoni unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa Mwezi Desemba, 2024 na kurejeshwa Nchini ili kuanza kutoa huduma kwa...
1 Reactions
9 Replies
735 Views
=== Najua Dkt Bashiru Ally Kakurwa na kaka yangu Humphrey Polepole wanajua na Mungu anajua aliyewaondoa kwenye nafasi zao ndani ya Chama cha Mapinduzi za Ukatibu Mkuu wa Chama na...
15 Reactions
195 Replies
19K Views
Leo hii mimi au wewe tukaamua kumtukana Rais aliyeko madarakani, Mzee kikwete, na viongozi wengine ndani ya mda mfupi sana kila mtu atanijua au atakujua sababu ndo mambo baadhi ya watu wanapenda...
6 Reactions
23 Replies
1K Views
Ni vyema vyama vya siasa vikawa na uwazi kuhusu michango wanayopokea. Najiuliza chadema wana hofu gani mpaka wanakusanya fedha kwa siri kubwa sana?
0 Reactions
7 Replies
556 Views
Wataje hapa na uwape maua yao tuwaombee kizazi chao Mungu akikumbuke daima. Tuwaombee wale wote wenye nafasi za juu za kuweza kula rushwa na kumudu maisha yao kirahisi wajali na wapate hofu ya...
0 Reactions
7 Replies
384 Views
My Take Mafanikio yanazidi kumfuata Rais Samia. Dunia inatambua mchango wake kwenye sekta mbalimbali. Haya Chadomo na Haters wengine njooni kutoa povu ...
0 Reactions
4 Replies
278 Views
https://m.youtube.com/watch?v=7WEBFMk8eE0 Ujenzi wa Mradi wa Bwawa la kufua umeme kwa maji kupitia mto Malagarasi (MW49) umefikia hatua muhimu, kwa kuweza kuchepusha maji ya kwenye mto...
1 Reactions
2 Replies
519 Views
Hii ni kauli ya Paul Makonda akizungumzia wafanyabiashara ambao wamekuwa wakilazimika kukichangia Chama cha Mapinduzi ili kuepukana na shari ambazo wanaweza kupata ikiwa watakataa...
10 Reactions
37 Replies
3K Views
Sina mengi ya kuongea, Kipengele uje nacho wewe Asanteni sana
2 Reactions
3 Replies
262 Views
Weka hii kwenye makabrasha yako tutakumbushana October Ahsanteni sana 🙏🇹🇿
0 Reactions
2 Replies
202 Views
Huo ndo ukweli, mwaka huu tuna mgombea kutoka kabila kubwa na namba moja tanzania na lenye idadi kubwa ya watu, na tunavojua wasukuma wanapendana na wanaaminiana, ila najua suala la kumchagua mtu...
1 Reactions
14 Replies
737 Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imepokea barua kutoka katika vyama vya siasa 14 vikieleza tarehe na muda ambao wanachama wao waliopendekezwa kugombea nafasi ya Urais na Umakamu wa Rais...
5 Reactions
30 Replies
2K Views
Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya...
0 Reactions
2 Replies
487 Views
Mwongozo wetu kwa makampuni yote ya nje, hayaruhusiwi kujishughulisha kwa namna yoyote ile kwenye mambo ya vyama vya siasa na siasa kwa ujumla. Jambo la ajabu, tumeambiwa kampuni ya China...
1 Reactions
0 Replies
268 Views
CCM, hatuna FINANCIAL CONTROLLER??? TUMETUMIA NA TUNATUMIA MABILLIONI TELE KULIKO UCHAGUZI MWINGINE WOWOTE, kama vile chama kigeni hakijulikani kwa wananchi. Kwa upande wangu, nashangaa sana CCM...
2 Reactions
12 Replies
643 Views
Wasalaam wakuu, Hili ni wazo langu tu kwaajili ya kuleta afya ya kiuongozi kwa Tanzania yetu ili kupunguza hatari za kiuongozi zinazoweza kutokea na nchi kujikuta ikiangukia kwenye mikono ya watu...
12 Reactions
134 Replies
12K Views
Back
Top Bottom