Rais Samia ameongeza bajeti ya elimu na mafunzo kutoka TZS4.72Trilioni mwaka 2020/21 hadi TZS6.16Trilioni mwaka 2024/25 sawa na ongezeko la TZS1.45Trilioni.
Bajeti ya Elimu na Mafunzo ndio...
Rais Samia akiweka jiwe la Msingi ujenzi wa Hospitali Mpya ya Rufaa Kusini
==Rais Samia amejenga hospitali mpya za rufaa 4 na hospitali mpya za Halmashauri 129 na hospital ya Emergency Medicine...
===
Rais Samia ameongeza hospitali zenye majengo ya kutolea huduma za dharura ( EMD) kutoka 7 mwaka 2020 hadi 128 mwaka 2025.
Aidha, Kukamilika kwa ujenzi wa majengo ya kutolea huduma za dharura...
Tayari ameshaanza kuona dhahiri shahiri, athari za mizaha, kutafuta tension kizimbani, kuja mahakamani kwa matumaini na matarajio hewa na ujuaji mwingi usio na faida kwake na kwa wafuasi wake na...
Tundu Lissu , nampa pole Sana Ila naona wazi Hon TAL is underutilized.
So akiachiliwa huru, aachane na kuwapambania wajinga .
Kwakuwa nilichoona kumkomboa MTU mjinga ni mchakato wa muda mrefu...
Mi ni miongoni mwa Wana CCM ambao sikupendezwa na Mheshimiwa Tundu Lissu Kupigwa risasi ,
Mimi ni Miongoni mwa Wana CCM ambao hatukukubaliana na jinsi nchi ilivyokuwa inaendeshwa na Bwana...
Giza Giza Giza Giza linafanya vizazi vipelekwe pabaya
Vikao vinaendelea kinachojadiliwa ni tofauti na wanachowaambia watu!
Kwa kifupi Time is best judge and it will tell!
Kikao kinaendelea Kwa...
Mbowe Mbowe Mbowe mheshimiwa Mbowe unapozungumzia Demokrasia na Katiba Mpya una maanisha nini?
Chama chako Democracy yake haiweki ukomo wa mwenyekiti kuongoza na sisi CCM tuna mpango kufuta ukomo...
1. Alimkaba Magufuli kuhusu makinikia tukadanganywa na hela ya Noah kwa kila mbongo
2. Alimkaba Kila mla Rushwa wa Escrow
3. Kawakaba wabunge wenzake
4. Sasa yuko na Abdul na wenje
5. Viti maalumu...
Baada ya Rais Magufuli kufariki dunia ile mwaka 2021, kuna uzi niliuanzisha nikihoji kifo chake.
Uzi wenyewe ni huu hapa:
https://www.jamiiforums.com/threads/fixed.1847493/
Nilihoji kwa kutumia...
Tusipotezeane muda mambo ni mengi.
Haina haja kutumia akili nyingi kujua nani ni nani, nani yuko kwaajili ya wananchi, nani yuko kwaajili ya tumbo lake au nani yuko kwaajili ya chama kingine...
Unapozungumzia Simba na Yanga, unagusa maisha ya watu zaidi ya milioni 40 Tanzania. Kila kona ya nchi kuna shabiki wa timu hizi, MPIRA NI DINI YA PILI TANZANIA.
Baada ya Yanga kuchangia harambee...
Ni kweli Job Ndugai alimuonesha mke wa pili Kama Mke wake .
Ila hiyo haiondoi Ukweli kuwa Ndugai alikuwa na wanawake wawili.
Na mahausiano yao yalikuwa vizuri .
Hivyo naomba Serikali na wadau...
Habari za usiku wakuu!
Licha ya kuwa Mhe. Rais anajitahidi kwa uwezo wake wote kutoa mchango wake katika kuipa nchi maendeleo lakini bado mwitikio kwa wananchi ni mdogo sana. Bado hajapata nguvu...
Salamu kwa Jaji Warioba, Mzee Butiku na wengine mnaoamini katika CCM iliyoasisiwa katika misingi ya mkulima na wafanyakazi.
Nyie kwa miaka mingi mmekuwa ni tone la matumaini ndani ya nchi na...
Ndugu zangu Watanzania,
Nawapendeni sana.
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.