Mtafuteni Prince Bagenda anajua vizuri historia ya vyama vingi hapa nchini, masuala yanayohusu usalama wa nchi hayawezi kugeuzwa kwa namna ya kisiasa halafu watawala wakakaa kimya, Mimi...
Msajili Msaidizi wa Vyama vya Siasa, Sisty amesema Sheria ya Gharama za Uchaguzi haijaweka ukomo wa kuchangia fedha za uchaguzi na kwamba sio lazima fedha walizochangisha CCM zote zitumike kwenye...
Kada wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMMA), James Mbowe, amewataka Watanzania kumtanguliza Mungu na kukemea vikali mwenendo unaoanza kuenea wa kushangilia vifo vya viongozi wa kisiasa...
Ukifika Dsm pale mbezi wewe km ni usalama wa taifa unaweza kulia, yaani Kuna wachungaji wengi wanaubili injili pale na wanakili wazi kabla ya kuokoka walikuwa majambazi, na waliisha us sana watu...
Nimeona katika Channel Ten polisi wametoa ripoti kwamba marehemu Ally aliyeuawa katika maandamano ya Chadema Morogoro amefariki kutokana na kugongwa na kitu kizito sio risasi, hiyo ni baada ya...
Vijana wengi wa umri huu watakuwepo Tanzania kwa miaka 40! Sasa serikali ikifanya hivi inatengeneza jamii gani kwa miaka 40 ijayo. Samia hazidishi miaka 5 anaondoka !! tafakari hili. Kuna ambao...
Kwa namna walivyokomaa Nadhani Chadema wanaweza kupata ufuasi mkubwa kwenye chaguzi ndogo
Nakumbuka ya Lyatonga Mrema na Cisco pale Temeke
Tuzidi kuwaombea
Ahsanteni sana 🙏
Asante mungu leo ni wiki moja toka tumemaliza uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la Kalenga nikiwa salama kabisa ,tofauti na watu wengi wanavyodhani uchaguzi mdogo uwe wa udiwani ama ubunge hapa kwetu...
1. Januari 5, mwaka jana, saa tano wakati Jeshi la Polisi mkoani Arusha lilipoamua kutawanya maandamano ya wafuasi na mashabiki wa Chadema walioandamana kilomita moja kutoka Hotel ya Mount Meru...
Wakuu!
Harambee za kisiasa zimekuwa sehemu ya kawaida katika kampeni, na Tanzania hatuko mbali na hilo.
Hofu yangu michango mikubwa, hasa inapokusanywa na chama kimoja, huibua mjadala iwapo...
Wakuu,
====
katika kipindi hiki cha uchaguzi baadhi ya vyama vimekuwa vikigawa vyakula kama vile (Ubwabwa) vinywaji na zawadi zingine kama vitenge tisheti, baisketi, pikipiki kwa wananchi...
Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria ...
Hapo awali ilielezwa kuwa wakati Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kikisitiza kufanya maandamano leo kisha mkutano mkubwa wa hadhara, kuliibuka mvutano baina yake na Jeshi la Polisi Mkoa...
WanaJF nichukue fursa hii kuwataarifu kuwa Marehemu Ally Zona amezikwa jioni hii katika kijiji cha Semngano kilichopo katika Kata ya Kilulu Wilayani Muheza Mkoani Tanga. Msiba uko Tanga Mjini...
Wakili wa Serikali Mkuu, Nassoro Katuga, ametaka kesi ya Tundu Lissu isiendelee kuonyeshwa moja kwa moja kupitia Vyombo vya Habari ili kulinda mashahidi kwani ushahidi wao unaweza kupelekea...
Waziri Mkuu wa Singapore 1959-1990 Lee Kuan Yew, alisema "Kubadili barabara, majengo na miundombinu mingine ilikuwa kazi rahisi sana, kwasababu ni sawa na kubadili bodi la gari, shughuli nzito...
BBC News, Swahili
Ruka hadi maelezo
Yaliyomo
HabariMichezoMakalaAfyaBurudaniVideoVipindi vya Redio
Moja kwa moja,
Israel yaua mwanahabari mashuhuri wa Al Jazeera na wenzake 4 katika shambulio...
Moja ya sàbabu ya mimi kuutaka Urais wa Tanzania ni namna ambavyo kama nchi tunakosa mbadala wa ccm, yaani tunaupinzani ambao ni mabingwa wa kudandia matukio ya kisiasa na na sio ku-stick na...
CCM imejiupgrade ubabe
CCM imetoka kutoka chama cha WAKULIMA na wafanya kazi hadi kuwa kikundi cha mabillionaire .
Kama budget ya chama cha siasa inaweza kuchangiwa na watu ambao uadilifu wao...
Wagombea 24 wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wamechukua fomu kuomba ridhaa ya chama hicho kugombea ubunge wa Jimbo la Kongwa, kufuatia kifo cha aliyekuwa Spika wa Bunge mstaafu na Mbunge wa jimbo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.