Mahakama ya Tanzania imeshuka viwango sana. Kesi za kisiasa zinatolewa maelekezo kiasi kwamba hata maamuzi mengi ya mahakimu na majaji ni mpaka wakaongee na wakubwa wao badala ya kufuata sheria . Mahakama ilikuwa sehemu ya wasomi inayo heshimika sasa mahakama imekuwa sehemu ya kisiasa na sio kisheria zaidi. lissu kapigania sana mahakama lakini hawajitambui maana wamejazwa makada kwenye ujaji na uhakimu. Udini udini umekuwa mwingi sana