Hivi tunaanzaje, na tunajiamini nini mpaka tunafikia hatuasi ya kuwaita atu wengine MBWA? Je m,buge anaposema anaongea na mwenye mbwa na wala si mbwa sentensi ka hiyo inaashilia nini huko tuendako?
Haishii hapo, anaenda mbali kwa kusema na tena kwa dharau kubwa ei sentensi ka hiyo ingekuwa imeongelewa na mtu makini basi angefuta kauli yake, lakini kwa kuwa aliyeongea siyo makini basi haifuti...
Anajikosha kwa kusema Sugu ni rafiki yangu na nyimbo zake nitaendelea kuzisikiliza...hii ni kejeli tena ya hali ya juu sana
Hapa swali ni moja jeuri hii anapewa na wapiga kura wake au anaitoa wapi?