MADIWANI WA CCM WAHOJIWA KWA KOSA LA KUSHIRIKI KUTAKA KUMNG'OA MEYA SONGEA
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Songea Charles Mhagama
Charles Mhagama ambaye ni Meya wa Halmashauri ya...
Zitto Kabwe, Let Dr. Muhongo Do His Job - John Mashaka
Energy sector has brought to a disgraceful ending some very promising careers. It has sent packing very powerful and prominent figures in...
By Nicola Weatherall
16 Apr 2013 12:48
A teenage refugee who has made the North East his home for six years fears he could be deported tomorrow to a country he's never been to
Protest...
Ninavyojua mimi kazi mojawapo ya wabunge ni kuisimamia serikali lakini naona wabunge wengi wa CCM wanaitetea serikali baadala ya kuisimamia hivi tutafika au ndo kujikomba ili wapate uwaziri? maana...
Nimesikia mikoa yote na tunakiri Zanzibar ni sehemu ya Tanzania..
Wabunge wa Zanzibar sasa mnawakilisha nini wakati hata mikoa yenu kwenye ofisi ya Waziri mkuu haipo?
Nimeuliza kufafanuliwa tu...
Hope is a good thing, maybe the best of things, and no good thing ever dies" The Shawshank Redemption (1994)
Shawshank Redemption ni mojawapo ya sinema ninazozipenda sana kwa sababu ya ujumbe...
wizara ya muungano na mazingira ofisi ya makamu wa rais kesho atawasilisha bajeti yake. je unafikiri mambo gani ya muungano wabunge kesho wajadili kwa manufaa ya kujenga muungani wetu kwa maslahi...
Kuna siku nakumbuka niliwahi kukaa na vijana wa umri wangu tukawa tunajadili kitu flani hivi,kati kati ya mada japo sikumbuki vizuri mada ilikua inasemaje.Nikawaambia wenzangu kuwa katika...
Wakuu baada ya jana Dr. Slaa kufungua na kushiriki semina ya kuandaa mafunzo kwa walimu wa chama ukumbi uliopangwa kutumiwa na CHADEMA umegunduliwa kufungwa kamera za kunasa sauti na picha ambazo...
Katika uchaguzi uliopita wabunge kutoka mkoa wa Kigoma ndio waliokibeba chama cha NCCR MAGEUZI, lakini sisi wananchi wa mkoa wa Kigoma tumegundua chama hiki ni tawi la CCM, japo mbunge wa Kigoma...
Jana Wananchi walishuhudia kituko cha ajabu sana, wananchi walishuhudia ni kwa namna gani Bunge limekuwa chombo cha kutetea chama kinachotawala na kujaribu kutumia "Kanuni" kuzima sauti za...
Wakuu Habari za kazi.
Ningependa kumshauri Rais jambo moja la msingi sana. Kama Rais anaona hali ya Bunge inamkera na inakera jamii kwa aina ya wabunge waliyopo Bungeni, Basi Rais Atumie mamlaka...
Ndugu wana jf ni ukweli usiopingika kuwa taifa la tanzania lipo katika hali mbaya takriinaban katika maeneo yote. Leo hii ukimuuliza hata mtoto wa darasa la kwanza atakuambia kuwa hali ya maisha...
Nilimsikiliza waziri mkuu akihitimisha hoja asilimia 95 ya hotuba ya kuhitimisha ilikuwa kumjibu Mbowe baadala ya kujibu hoja zote za wabunge!!!!!
Leo hii Wasira naye ametumia asilimia 90 kujibu...
Ndg, JF habarini za mda huu!
Naomba nitumie mda huu kuomba msaada wenu wa kimaana/kimantiki kuhusiana na maana harisi ya neno hasa linapotumika ktk sentensi. Naomba nijikite zaidi ktk taasisi moja...
sisi wapiga kula wako, jana umetudhihilishia kuwa ww ni kidume kweli,fanya kazi,fanya tukichokutuma,fanya kama unavyofanya huku,na fanya kama ss wapiga kula wako tunavyofanya, zidi fanya kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.