Wadau sijamuouna Zito kabwe bungeni. wakati huu ambao chama kinapita katika harakati nzito za kuondoa fikra mgando miongoni mwa wanasiasa na watendaji wa serikali alipaswa pia kuwa sehemu ya mapambano bungeni kujenga na kutetea hoja maana naona style ya chama tawala sasa ni matusi kwa kwenda mbele.
Anayetukana tunajua siku zote amekaribia kabisaaaa kushindwa, hata katika mambo ya kawaida ukiona mlikuwa mnabishana na mwenzio akaanza kukushambulia kwa mambo ya kimwili kama kusema labda una bichwa kubwa, vidole kama ngedere then huyo kashindwa. Sasa hapo watoa hoja na wajenga hoja wa chama bila kujali tofauti zao za hapa na pale ndipo wanatakiwa kurusha makombora yao.
Au yuko kikazi sehemu? Kwa suala hili la udini ilibidi awepo nae huwa ana msimamo fulani hivi inapaswa auweke wazi. Nijuzeni tafadhali nilikuwa sipo kidogo.