mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,656
- 3,668
Nawapongeza wana Singida kudiriki kuchagua asiyekua mnafki bungeni,kwani ni mtu mmoja ila nikama wabunge 70 bungeni. Sio kwamba hana usingizi bungeni kama wabunge wengine hasa wa chama tawala ila anaumwa ugonjwa wa UZALENDO NDOMAANA HAISHI KULITUMIKIA TAIFA KWA UJUMLA.