Najaribu kuwaza kwa sauti tu.
Nini itakuwa matokeo ya ziara ya wabunge 6 wa CHADEMA wakiwa na mbunge pekee wa upinzani katika mkoa wa SINGIDA ndg. Tundu Lissu hasa baada ya wabunge hawa wote...
Mda huu wakati mbunge ngonyani akichangia hoja nimemwona waziri mkuu akiwa anateta na shibuda zaidi ya dakika nne. Sasa je umakini wa waziri mkuu uko wapi? Je anatilia maanani maoni ya wabunge?
Na Midraji Ibrahim, Mwananchi
Posted Jumatatu,Aprili22 2013 saa 20:49 PM
KWA UFUPI
Alisema kwenye hotuba ya waziri hakuna sehemu ambayo imekuja na suluhisho la matatizo ya wakulima nchini...
inavyoonekana CCM chini ya kinana anayejaribu kupambambana kwa hoja wameanza kuwachoka vingozi wenzao akina mwiguru, lusinde, juma nkamia, serukamba na wenzao wa viti maalum
kwa vyovyote...
Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe.
Nimesoma taarifa kuhusu Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe, kukataa kuunga mkono bajeti ya ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2013/2014.
Kisha...
Mtuhumiwa wa mauaji ya padre Everest Mushi wa Zanzibar, Omar Mussa Makame kila awapo mahakamani hufanya ishara ya V kwa mikono yote kuashiria ushindi huku akitabasamu na kuonekana mwemye bashasha...
Kituo cha police na ofisi ya afisa tarafa Bumbuli vyaharibiwa vibaya na wafuasi wa lambalamba.
Mkuu wa wilaya ya Lushoto ndg. MAJIDI MWANGA amewachukulia hatua kali wafuasi wa lambalamba ili...
Mwaka 2006,Mfadhili wa Chuo cha Sayansi ya Uuguzi cha Bugando-Mwanza,Cornell Weill alitoa pendekezo. Kwamba,alidhamiria kuwalipia ada yote wanafunzi wote waliokuwa wakisoma Stashahada na masomo...
Hali hiyo imeisababishia manispaa hiyo kupata hati chafu, huku Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Hawa Ghasia akitangaza kuipunguza ruzuku ya fedha za...
Ni Tindu Lissu Mbunge, mwanasheria na mwanachama wa CHADEMA, kaonesha umahiri mkubwa ndani na nje ya bunge. Tukienda mahakamani anawakimbiza, tukiingia bungeni kila mwenye kadi ya CCM anatamani...
Wiki iliyopita nilileta taarifa ya CHADEMA kushinda ktk uchaguzi wa kijiji cha Gedamar, Gunyoda Mbulu. Leo naomba kuwaletea taarifa nyingine kuwa CHADEMA wameibuka kidedea ktk uchaguzi wa serikali...
Jeshi la Polisi nchini, limesema zipo dalili za kuibuka makundi ya kigaidi ndani ya nchi yakiratibiwa na makundi ya Al Qaeda na Al Shabab.
Kwa msingi huo, jeshi hilo limewataka viongozi wa...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu kimemtunukia aliyekuwa mgombea Urais na Katibu mkuu wa Chadema, Dk. Wilbroad Peter Silaa tuzo ya Majimaji kutokana na mchango wake katika Bunge lililopita...
Amesema hiyo adhabu waliyopewa haitamfanya afunge mdomo ataendelea kupigania haki za watanzania bungeni hata kama atafungiwa kila siku kwani kuongea ndo kazi aliyopewa na wananchi
Ktk taarifa ya habari Itv usiku huu wakati zoezi la uokoaji likifungwa rasm waziri wa mambo ya ndani ametoa taarifa ya rais kuwa anawashukuru sana vikosi vya vyeshi na watu binafsi waliojitolea...
Nasikia katika kila maandamano viongozi wa juu wa CHADEMA huwa wanalipana posho ya shilingi laki 6 ndio maana huwa wanayaandaa kwa pupa. Nyie hamjasikia?
Ni katika viwanja vya Mwembetogwa kuanzia mishale ya saa 8 mchana pale soksi ztakapotoka na viatu kubakia miguu, kama unahisi haujawahi kushuhudia live performance basi fika bila kukosa!
KAMA SI PETER SERUKAMBA,NINGEMCHAGUA NANI?
Ni Aprili nyingine.Na Dodoma ndiyo habari ya mjini kwa sasa.Ni habari za Bunge!Wabunge wetu wapendwa wapo Dodoma "kututengenezea maisha"kupitia...
Chama cha Demokrasia na maendeleo - CHADEMA, ni miongoni mwa taasisi zenye maendeloe makubwa (kwa dhana ya uanzishwaji wake) sana, pia ni mojawapo ya taasisi zilizochangia kwa kiasi kikubwa sana...
kamanda anafunguka pale.
Anasema Tanzania tuna Pamba, Korosho, Kahawa, gas , mafuta, uraniam, Tanzanite, mlima wa pili kwa urefu duniani, mbuga za wanyama kubwa kabisa duniani, hali ya hewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.