Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kukiwa bado tume haijatangaza kuanza kwa kampeni za uchaguzi wa madiwani, Makada wa CCM ambao ni wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM kutoka mikoa ya Arusha na Kilimanjaro wakisindikizwa na Meya...
2 Reactions
32 Replies
5K Views
Nimesikiliza hotuba ya Uhuru Kenyatta. Wakati yeye anafikiria kugawa laptop kwa watoto wa mkulima sisi hatufikirii wala kuona watoto wetu wataondokana vipi na kukalia MAWE yenye ncha kali!
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Makada 3 wa chama cha mapinduzi ambao walifungua kesi ya kupinga ubunge wa lema, na hata baada ya lema kushinda rufaa yake makada hao waaminifu walikata tena rufaa wanakabiliwa na kibarua kigumu...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuanzia sasa nitamsaidia JK kadri niwezavyo ili nihakikishe ananunua meli kwa ajili ya Mkoa wa Kagera. Meli hizi hapa bei yake na contacts.........yaani yeye afanye kuagiza tu aggghhh...nitasema...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Alhamisi, Aprili 18, 2013 07:33 Na Joe Beda *Kupanga safu imara ya uongozi kesho jijini Dar es Salaam RICHARD Kiyabo (pichani), ni kada wa Chama Cha Kijamii (CCK) ambaye pia ni mmoja wa...
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Njombe kupewa ukweli wa Makinda rasmi, karibuni kupata mafunzo ya viongozi wanaotakiwa. Wabunge wa CHADEMA wakiongozwa na Dr. Slaa wataunguruma Mjini Njombe mnamo tarehe 25 April 2013 katika...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Wadau, hii habari ilishawekwa mtandaoni na katika magazeti. Naileta kwenu baada ya kupata taarifa kwamba leo kampuni 4 zimefungua kesi kutaka kutengua uamuzi wa Serikali wa kugawa vitalu. Kesi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuzaliwa kwa Chama Cha Kijamii (CCK) kilichopata usajili wa kudumu Januari 27, mwaka jana, hakukutarajiwa na wengi. Kwa maana CCK iliyoasisiwa na waliokuwamo ndani ya Chama Cha Jamii (CCJ)...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi 7,012 yenye thamani ya dola bilioni 60 za Marekani, iliyotoa fursa za ajira kwa Watanzania 10,029,737. Hayo yalibainishwa bungeni hapa...
0 Reactions
3 Replies
962 Views
Wanajamvi heshima kwenu. Ninaomba kuelimishwa kuhusu waziri mwenye dhamana ya miundo mbinu mhe. John Makufuli kwani anachoamua sicho kinachotendeka kama waziri mwenye dhamana kama kikitendeka...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tanzania Tanzania Tanzania,mbona nuru yako yazidi fifia? Mbona umekosa mwelekeo? Hivi baada ya miaka 15 ijayo Tanzania utakuaje wewe? Huna dira hata hujui waenda wapi,umepotea weweee,Rudi ukapige...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Dah! Hii kali. Naona Kinana kaamua kuwaaminisha wananchi wa Morogoro kuwa uongozi wa CHADEMA ni kama Savimbi! Lol. Now eti upinzani wa kina Mbatia, Mrema, Mbatia na Hamad Rashid ndio mfano mzuri...
3 Reactions
236 Replies
18K Views
Kwa muundo wassasa wa muungano wazenz tunasacrafice sana bora tuwe na serikali moja ya zanziba yenye uhuru kamili na nyingine ya tanganyika yenye uhuru kamili kisha tuwe na shirikisho la...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ki-ukweli inakera na inauma pale unapo ona mbunge anaikosoa serikali katika hoja zake, alafu mwisho wa siku anakwambia naunga mkono hoja mia kwa mia! Kiukweli inauma na inakera,kuona wabunge wetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika utamaduni unaosimamia mahusiano baina ya mataifa au mashirika ya kimataifa hususani mikataba na makubaliano baina ya mataifa na mashirika ya kmataifa kumekuwako ni vitendo au matendo...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Monday, April 22, 2013 NA THOBIAS MWANAKATWE 22nd April 2013 Maendeleo ya ujenzi wa barabara ya lami katika Jimbo la Hai yamemliza Mbunge wa Moshi Vijijini (CCM), Dk. Cyril Chami na...
1 Reactions
35 Replies
6K Views
Naibu spika mhe Job Ndugai amemsifia Mbunge wa Iramba baada ya swali lake na KUSEMA SWALI ZURI NA KUSEMA AMA KWELI IRAMBA MNA MBUNGE MAHIRI. Ukweli utabaki palepale hata wenye wivu wakipotosha.
0 Reactions
52 Replies
7K Views
Watanzania wenzangu wana CCM wenzangu leo hii napenda kutoa ukweli mchungu ambao wenzetu hawataki kuusema aidha kwa makusudi ili liwalo na liwe, au kwa woga wa madaraka,au kuogopa kuwaudhi wakubwa...
29 Reactions
127 Replies
11K Views
Wakuu, Jeshi la Polisi nchini lipo kwenye mahojiano na mwanablog na mwandishi wa safu katika magazeti mbalimbali nchini Majid Mjengwa. Mwandishi huyo yupo kituoni hapo kujibu maswali juu ya...
11 Reactions
336 Replies
34K Views
NI MTANZANIA GANI ASIYEJUA HAYA YANAYOTUTESA KILA SIKU huku mafisadi na watu wanaolinda interest zao wakipiga makofi tu kupitisha mambo yasiyomsaidia mtanzania wala kutatua kero moja kati ya...
0 Reactions
1 Replies
973 Views
Back
Top Bottom