Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimemsikiliza wakati akihojiwa na waandishi wa habari jana katika ufunguzi wa mkutano wa Mawaziri wa AU. Sasa kama analijua hilo kwanini Kampeni zake za mwaka 2010 ziliwagawa Watanzania mpaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
WATEKAJI na watesaji wa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madaktari Nchini, Dk. Stephen Ulimboka, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri (TEF), Absalom Kibanda, wanaendelea kuwa kitendawili baada ya Jeshi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Kwa mara nyingine tena,wakazi wa mji wa Njombe na vitongoji vyake wanatarajia kufurika kwa wingi katika uwanja wa National Housing siku ya alhamisi ya tarehe 25.April,2013 wakati Dr.Slaa na timu...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Kwanini CHADEMA haina marafiki na nchi za kiarabu? Rafiki wa CHADEMA kwa sasa ni;- Ujerumani: wapenda Vita na kuitawala dunia Marekani: Wababaishaji wa Demokrasia WAZUNGU KWA UJUMLA NDIO...
1 Reactions
95 Replies
8K Views
Wanajamii, Binadamu tumeumbwa na uwezo wa Kukumbuka na Kusahau. Kuna mambo ambayo ni vyema kuyasahau. Pia kuna mambo ambayo hatupaswi kuyasahau. Tutumie nyenzo ili kukumbuka mambo ambayo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
KITUO cha Uwekezaji Tanzania (TIC) kimesajili miradi 7,012 yenye thamani ya dola bilioni 60 za Marekani, iliyotoa fursa za ajira kwa Watanzania 10,029,737. Hayo yalibainishwa bungeni hapa jana na...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
1.Unyonge kitu kibaya,hushindwa kudai haki, Mengi aliona wabaya,papa kuhodhi haki, Mola akishalipanga,muda huja muafaka...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa heshima nyingi naomba yeyote mwenye uwezo wa ku-upload sheria kanuni katiba ya kuendesha bunge letu pale mjini Dodoma aiweke hapa ili tuweze kuziona hizo sheria na kanuni, mamlaka ya spika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanajamvi mnaonaje huu mjadala?
0 Reactions
0 Replies
915 Views
Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Philipo Mulugo Na Benedict Liwenga-Maelezo, Dodoma. SERIKALI imetenga shilingi Bilioni 326.0 katika mwaka wa masomo 2012/2013 kwa ajili ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
CCM Arusha imegawa sh. Milion 42 kila kata itakayogombewa udiwani,hizi kazi yake kulaanisha wapiga kura. Chanzo mimi mwenyewe niko kwenye kamati ya kampeni ya watu 10 upande wa CCM.
0 Reactions
38 Replies
4K Views
Kwa miaka mingi sana nimekuwa nikisikia viongoz mbalimbali wa serikali wakilalamika kwamba wafanyabiashara hawalipi kodi au makusanyo ya kodi ni hafifu. Last week nilimsikia Kiongoz wa serikali...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Na John Bukuku, Morogoro HAKIKA kwa muda mrefu Chama Cha Mapinduzi(CCM), kimekuwa kikijaribu kujiweka katika mazingira mazuri zaidi kisiasa.Hata hivyo licha ya kufanikiwa kwa kiwango fulani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
JK atuma rambirambi tetemeko la China: RAIS Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Rais wa China, Xi Jinping kutokana na msiba ulioipata nchi hiyo wa vifo vya watu zaidi ya 150. Vifo...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Dongo Hilo limepigwa kwa Mheshimiwa Mnyika, Ndani Ya Bunge sasa hivi. Maskini Mwigulu Nchemba! hivi huyu ndugu yetu hana jambo jengine la kuzungumza bungeni kwa sasa zaidi ya suala la...
0 Reactions
101 Replies
12K Views
Ameitaja CHADEMA 16 NA CCM 12 Kwenye taarifa yao hii iliyotoka uhuru na ipo pia kwenye blog yao: CCM wanavyosaidiakueneza chadema : Asema viongozi wakewamekubuhu wa ubinafsi *Wanajali...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Hamjambo? Wengi wenu nadhani mtakuwa mmeiona mara kwa mara orodha ya ahadi kede kede alizowahi kutoa mheshimiwa Jakaya kikwete katika kampeni zake za kuingia Ikulu kwa ngwe ya pili. Ahadi nyingi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HALMASHAURI 70 kati ya 136 nchini, zinakabiliwa na janga la njaa kutokana na ukame unaosababisha uzalishaji kuwa mdogo. Kauli hiyo ilitolewa jana bungeni na Waziri wa Kilimo, Chakula na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hivi kweli wenzetu hamna huruma kabisa? Mnatawala kana kwamba mnatawala nchi ya kigeni? Mnaweza vipi kutenda kana kwamba utawala wenu hauna matokeo ya moja kwa moja katika maisha ya watu wetu...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Raia mwema Ughaibuni|Evarist Chahali WAKATI Tanzania imetimiza zaidi ya miaka 20 tangu yatokee mageuzi ya kisiasa yaliyosababisha kuruhusiwa kwa siasa za vyama vingi, kuna haja ya kufanya...
0 Reactions
1 Replies
904 Views
Back
Top Bottom