Inasemekana kumeanza kampeni za chini chini za kutaka jimbo la Monduli baada ya mh. Lowassa.Watu wanaonekana kuwa na uchu wa kumrithi mbunge huyo ni aliyekuwa mkurugenzi wa kituo cha uwekezaji bw...
So far tumesoma mwenyekiti wa kamati ya Bunge ya Usalama (EL), amejitokeza na kutoa tamko. Sasa hawa jamaa wa National Security Council ya Tanzania itabidi watoe tamko juu ya hili suala. Lakini...
Kupitia kipindi cha tuongee asubuhi, nimesikia kupitia gazeti la Majira kuwa ripoti ya mkaguzi mkuu wa hesabu za serikali haitajadiliwa kwenye bunge hili la bajeti (Bunge la 11), japo ripoti hiyo...
Hii katiba mpya ndo ilikua sehemu maridadi ya kumfanya jaji Warioba akumbukwe vizazi na vizazi kwa kuwatendea haki watanzania lakini inavyo onekana kazi yake imeanzia kuwa na doa kutokana na...
Kwenye gazeti la Mwanahalisi la tarehe 01/9/2010 Ndugu yangu Ndimala Tegambwage aliyasema haya.
Vilio hivi vimeendelea ndani ya mitima ya wengi. Serikali imekaa kimya. Miaka mitano imepita. Rais...
Kwa siku za karibuni kumezuka tabia ya CCM kuunda matukio ili kuzima mijadala mizito ya kitaifa nakuwaacha watu wakijadili matukio ambayo hayana maslahi kwa taifa.Kwa mfano leo kwa maksudi kabisa...
Ccm wameanza utapeli na kuwarubuni wapiga kura wa kata ya stesheni kutokana na zoezi la uchagusi mdogo wa kata hiyo utakao fanyika juni 16 mwaka huu.
Uchaguzi huo unakuja kutokana na kifo cha...
Ndugu wana JF,
Ndugu kwa Habari nilizozipata hivi punde kutoka chanzo cha uhakika ni kwamba. Wanajua kabisa 2015 hata wakatambikie ni wazi hawawezi kushinda uchaguzi ujao [Wana CCM wote wanajua...
Tume ya mabadiliko ya katiba inawaomba wananchi wote kupitia mwongozo huu uliotolewa na Tume na kuwasilisha maoni/Mapendekezo yao katika kipindi cha wiki mbili (2) baada ya tarehe ya kutolewa...
KUTOKA KIKAO KATI YA BODI YA MISHAHARA YA SERIKALI NA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZOTE NCHINI
Madaraja ya walimu yamerekebishwa graduate ataanza na TGTS E kama laki 850,000/= na wataAdjust kama...
Dodoma. Katika wiki mbili za mwanzo za Mkutano wa 11 wa Bunge la Bajeti, vijembe, matusi, misimamo na maneno ya kuudhi vilitawala bungeni.
Baadhi ya kauli...
Spika wa bunge amesema kama kuna jambo kanuni imekaa kimya spika ana mamlaka ya kufanya apendavyo na kisha itaingizwa katika kumbukumbu za bunge kwa matumizi ya baadae, kwa maana hiyo Ndugai...
Kwenye kipindi cha tuongee asubuhi Star TV mhadhiri mwandamizi wa UDSM amesema adhabu waliopewa akina Lissu ya siku tano haitoshi na walitakiwa wapewe adhabu hata ya miezi mitatu na wakatwe...
Katibu wa organization wa chama chama cha mapinduzi (CCM) Mohamed Seif Khatib, jana wakati akihutubia Morogoro alisema Chama cha
Wananchi (CUF) kina malengo
mengine tofauti na siasa, hivyo...
Walio madarakani wanamsemo niupepo tu, utapita. Msemo huu hutumiwa kukumbushana kuwa watanzania wengi hasa wasomi si watu wa kuchukua hatua pale watawala wanapofanya madudu ya kiutawala au...
Kutokana na tabia za kifisadi za viongozi mbalimbali waliopewa dhamana za uongozi na wananchi, jana tabia hiyo iliwatokea puani wenyeviti watatu wa vitongoji vya Mlandizi kati, Janga na...
Wananchi wa Dodoma jana wamepuuza ujio wa CDM kuudhihirisha haya kutoudhuria kwa wingi na hata waliodhuria nao baada ya mkutano uliofanzika WAJENZI AREA C nao walianza kurumbana wengine wakidai ni...
Ingawa ni ukweli ulio wazi kwamba Chama cha CHADEMA hakiwezi kushinda Uchaguzi wa Uraisi na Ubunge 2015, lakini ni jambo lililo wazi pia CHADEMA wamefungua njia ya mabadilko nchini mwetu...
Baada ya Mkurugenzi wa wilaya ya Iramba kutangaza uchaguzi wa wenyeviti wa vijiji 17 na vitongoji 54 tayari vyama hasimu wilayani hapo vimeonekana ktk maandalizi ya kumenyana kutokana ktk chaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.