Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi wana jamvi katika katiba yetu hiki kuna mambo ambayo mi siyapendi hasa pale katiba inaposema ni lazima mgombea awe na elimu ya chuo kikuu yaani digrii. Tujiulize je kua na digrii na kua na...
1 Reactions
38 Replies
4K Views
President Jakaya Kikwete has slammed policies of former colonial masters for most of present internal and cross-border conflicts in Africa, noting, however that the continent is better-off at...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mimi napata wawasi sana kuhusu maendeleo ya nchi yangu miaka hii ya karibuni, kipindi cha nyuma nikimaanisha enzi za uongozi wa kwanza hadi wa tatu, kidogo tulikua tunajivunia kua na viwanda kama...
0 Reactions
1 Replies
966 Views
Natishwa sana na mahudhurio ya watu kwenye mikutano ya vyama. Mwaka 2015 wakati wa kampeni vyama vijikite kutumia dakika mbili kuwaasa wahudhuriaji kuwaambia wenye vitambulisho vya kupigia kura...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Halmashauri ya Wilaya ya Iramba Mkoani Singida kwa makusudi imemwajiri mtumishi Mganda kama Mchambuzi wa Mifumo ya Komputa mwaka 2009; Mwaka 2007 Halmashauri hiyo ilitangaza nafasi hii kwa mara ya...
3 Reactions
32 Replies
5K Views
" Kwa kweli hadi kufikia hapa Afrika imepiga hatua, tumeweza kuishughulikia na kuitatua migogo mingi iliyolikumba bara letu,tutaendelea kufanya hivyo katika siku za usoni na kwa kweli sasa...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
WATANZANIA TULIKANYE BUNGE WABUNGE ISHINI BEYOND YOUR POLITICAL PARTIES IDEOLOGIES. UTANZANIA KWANZA ITIKADI ZA VYAMA VYENU BAADAE. KWANI USHABIKI WA KIITIKADI UMELIGHARIMU TAIFA KWA MDA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Naandika maswali haya kufuatia hotuba ya Katibu Mkuu wa CCM aliyoitoa mapema leo kwenye hitimisho la ziara ya siku nane aliyoifanya Morogoro. Naandika maswali haya nikitambua wazi kwamba CCM...
6 Reactions
49 Replies
6K Views
Tumekata tamaa ya maisha sio kwa vile tu tuna njaa ya tumbo bali tuna njaa ya akili pia. Kuna KUNDI limetupa njaa hizi. KUNDI hili ni genge la walionacho walioshika mirija na kujimiminia wao tu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
By ADAM IHUCHA Special Correspondent Posted Saturday, April 20 2013 at 18:38 IN SUMMARY The energy firms are also considering building two trains, as the LNG processing units are known, with...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
NI UTABIRI WANGU. “Vita kuu Tanzania, ni Vita kali kati ya watetezi wa haki na watetezi wa dhuluma” Mateso tunayoyapata, vipigo na kutekwa kwa watetezi wa haki, mabomu, risasi tunazopigwa...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Nashangazwa sana kwamba mpaka leo bunge letu linatumia njia ya wabunge kusema 'ndio' au 'hapana' katika kupiga kura. Njia hii haioneshi kuwa bunge letu kipo makini katika kufanya maamuzi kwa njia...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Ni leo mchana ambapo watapewa mapokezi makubwa na wanavyuo wa tumaini, ruco na mkwawa na wananchi wengine, hawa ni makamanda waliofukuzwa na mpuuzi ndugai kwa maelekezo ya nepi nauye! Peoplesss...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
*Ni baada ya Mkurugenzi kuchota mamilioni benki CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeitaka serikali pamoja na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (TAKUKURU), kufanya uchunguzi wa ufisadi...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
Nawaomba wadau wa CHADEMA watupe majibu kwa nini hawana diwani hata mmoja katika majimbo yafuatayo:- Mtwara Mjini, Masasi, Newala, Mtwara Vijijini, Tandahimba, Nanyumbu, Lulindi, Lindi Mjini...
0 Reactions
47 Replies
4K Views
Nimekuwa nikijiuliza maswali mengi kuhusu hatima ya nchi yangu Tanzania, kwa miaka ya hivi karibuni CHADEMA imekuwa ikiibua kashfa nyingi za Ufisadi, kwa ujumla CHADEMA imetuamsha Watanzania...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Shigongo kwenye Global Pub yake kaandika maneno mazuri sana lakini kashindwa kumalizia kwa haki bin haki kwa kusema ukweli wa kwamba ..SPIKA AACHE UPENDELEO KWA CCM NDANI YA VIKAO VYA BUNGE Na...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
April 3, 2013 in Johannes Urpelainen, PhD One of 2013′s highlights so far has been my visit to Tanzania, where I conducted research on solid waste management. During my visit, I also had...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Huyu jamaa wapiga kura wake walimchagua kama Shibuda au kama CHADEMA?. Kama walikuchagua kama CHADEMA nakupa pole 2015 maana huna nia moja ya mabadiliko ya kisiasa. Nakutafakari
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom