Mda huu wakati mbunge ngonyani akichangia hoja nimemwona waziri mkuu akiwa anateta na shibuda zaidi ya dakika nne. Sasa je umakini wa waziri mkuu uko wapi? Je anatilia maanani maoni ya wabunge?
Mimi pia niliwaona nikajiiliza, Hivi ni kwa nini hawawezi kuongea baada ya kipindi? Last week mbunge wa Same alikataa kuendelea kuchangia hoja kwa kuwa Lukuvi alikwenda kuongea na PM. Sasa Leo the same thing imejirudia. Why?Kwani WM hahitaji kusikiliza kila kitu? Naomba ufafanuzi.Je waziri mkuu pamoja na shibuda wameshindwa kujadiliana nje? Hakuna kanuni inayokataza kunong'ona na kutafuna bungeni?
Je waziri mkuu pamoja na shibuda wameshindwa kujadiliana nje? Hakuna kanuni inayokataza kunong'ona na kutafuna bungeni?
Kulala na kukoroma imekosekana itapatikana ya konong'ona:hug:? wengine :director::music::violin::A S-rap::A S-rap::focus: . Bunge la .... kwa uzuri Africa.
Mda huu wakati mbunge ngonyani akichangia hoja nimemwona waziri mkuu akiwa anateta na shibuda zaidi ya dakika nne. Sasa je umakini wa waziri mkuu uko wapi? Je anatilia maanani maoni ya wabunge?
kaka mda huu kanuni inatungwa kwa kuingizwa baada ya tukio, usishangae kesho ukisikia mtu kahukumiwa hivyo
MAsikio na mdomo hayana kazi moja.Mda huu wakati mbunge ngonyani akichangia hoja nimemwona waziri mkuu akiwa anateta na shibuda zaidi ya dakika nne. Sasa je umakini wa waziri mkuu uko wapi? Je anatilia maanani maoni ya wabunge?
Sijasikia wabunge wa kulalamikia kanuni aliyosimamia Spika zaidi ya kuishia tu kusema SPIKA ni dikteta, lakini humu Jf ndo tunajua kuwa Kanuni imevunjwa, huu ni upotoshaji wa UMMA.Inafurahisha kuona kuwa tulidanganywa wakati tunasoma uraia enzi hizo kuwa bunge ndio chombo cha kutunga sheria, kumbe tungeambiwa hata msimamizi wa utekelezaji wa sheria za bunge anaweza kutunga sheria pale inapoona inafaa na haina haja ya kupitishwa na bunge. Hii ndio bongo Bora kutenda kosa kuliko kuomba ufafanuzi wa kutenda kosa.