Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dar likiwa jiji lenye idadi kubwa ya watu tz takribani milioni 4.5 ni jiji linaloongoza kuwa na watu wengi maskini wanaoishi kwa kipato cha 640/=Tsh.Kwa mujibu wa tafiti ni angalau 1.3 ya wakazi...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Wapendwa wanajamii, Katika hali hii ya sasa katika serikali za mataifa mbalimbali viongozi wetu wamekua wakienda kinyume na misingi na kanuni ya sera za kidemokrasia. Nakumbuka nilipo kua...
0 Reactions
0 Replies
689 Views
ALHAMISI, APRILI 25, 2013 07:22 NA DEBORA SANJA, DODOMA WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema kukosekana kwa wanafunzi kutoka Zanzibar wanaopata ufadhili wa kusoma nje ya nchi kunatokana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
By Dr Wale When the Apostle Paul wrote the Biblical epistles, in his mind he was simply writing pastoral letters to follow up on, encourage, guide and correct his converts. Little did he...
0 Reactions
0 Replies
680 Views
Watanzania wanashindwa kuelewa ni lini bunge letu tukufu litakaa na kufanya kazi zake za kibunge!Ni mshangao ambao wananchi wana jiuliza kila siku kwa bunge letu kuacha kufanya kazi zake za...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Ni baada ya mwanachuo kuchomwa kisu na mwanaakijiji na kufariki dunia. Walipotoa taarifa kwa mkuu wa chuo hawaku pata msaada wowote. Maandamano yakaanza na taarifa zikafikishwa kwa mbunge...
12 Reactions
281 Replies
40K Views
Kuna tetesi zimeenea hapa jijini Arusha kuwa Kumekuwepo na kikao kizito kati ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha (Mrongo) na maafisa usalama wa taifa wakipanga kuihusisha CHADEMA na mauji ya mwanafunzi wa...
0 Reactions
139 Replies
17K Views
Serikali ya JK imekuwa ikijinadi kwa kujenga madarasa mengi ya shule za msingi na sekondari, majengo ambayo hayana vifaa vya kufundishia, vitabu na walimu. Mwaka huu aibu imewakuta, wanafunzi...
5 Reactions
56 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba, amesema kwamba yanayotokea Bungeni ni matokeo ya KITI cha Spika kufanya upendeleo waziwazi, kwa kuwakandamiza Wabunge wa Upinzani!! Alisema ni Vigumu...
4 Reactions
33 Replies
5K Views
Ndugu wana jf, Jina langu mimi ni Elineema J Mosi. Wakati wabunge wakijadili wizara ya maji na kwakuwa Mh. Lema bungeni hayupo naomba kuleta kilio cha shida ya maji Kwamorombo,hakuna kabisa maji...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
KWA UFUPI "Ndiyo maana tunasema mnadanganya, wewe fikiria hata hao wataalamu wenu mnaowatuma wanaishia maofisini, huku mnakuja kutoa taarifa kuwa wamefika huko na kufanya kazi, jamani Watanzania...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Huwa nikilitazama bunge letu napata wakati mgumu sana wa kuamini kinachotokea bungeni. Naamini wabunge wote waliopo ndani ya bunge letu ni watanzania na ni wawakilishi wa watanzania na wako...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Zanzibar Share IMF 1964 source http://mzalendo.net/
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Bunge limeanza kinachoendelea maswali ya hapo kwa hapo kwa waziri mkuu Pinda amkubalia Mbowe kuhusiana na wizara ya maji kuongezea bajeti ya maji.
0 Reactions
37 Replies
6K Views
Mbunge wa Kigoma Mjini, Peter Serukamba ameomba muongozo akilitaka bunge kupunguza bajeti ya fedha za matumizi na kuzielekeza kwenye miradi ya maji.
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Nakichukia sana CHADEMA ingekuwa mimi ndio spika nisingewaruhusu wabunge makanjanja hasa Tundu Lissu, Godless, Sugu,Mbowe kunyanyua domo ndani ya bunge. Wanakera na wanashusha hadhi ya bunge...
1 Reactions
320 Replies
22K Views
Wakuu. Mtakumbuka kuwa leo wabunge wa Chadema walio fukuzwa kiuonevu bungeni wanafanya mkutano jimbo la Iringa mjini ili kushtaki kwa umma uonevu walio fanyiwa. Hapa ni yanayojiri mkutanoni...
37 Reactions
573 Replies
52K Views
Akiwa mkoani kwetu Kilimanjaro, Mwalimu alitikisa kichwa na kusononeka wakati kiongozi mmoja wa chama alipopanda jukwaani na kuanza ‘kuupasha moto' umati mkubwa uliojitokeza kabla Mwalimu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Muda mfupi uliopita Mh Kangi Lugola ameomba muongozo kwa Naibu spika kutaka kujua inakuweje leo wanajadili wizara muhimu kama ya chakula ambayo ndio tegemeo la Watanzania, ila ndani ya ukumbi wa...
0 Reactions
56 Replies
6K Views
On Tuesday, Feb. 19, the Supreme Court of the United States will announce its decision on whether or not Barack Obama should have been placed on the California ballot during the 2008 presidential...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom