Source; Jamhuri
Imeandikwa na Mwandishi Wetu, Dodoma
Jumatano, Aprili 24, 2013 14:47
*Asema Sh bil. 29 ni za kuibakiza madarakani
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Habari za weekend wana JF,
Nina swali moja kwa Prof Safari, hivi mbona simwoni katika majukwaa ya M4C au katika harakati yoyote ile ya CHADEMA? Mara ya mwisho kumsikia ilikua katika hekaheka ya...
Swali Kwa Waziri Mkuu...
" LIWALO NA LIWE utekelezaji wake unaendelea si kwa Madaktari pekee bali hata kwa Waandishi wa habari, Viongozi wa vyama vya siasa, Viongozi wa Dini, Vinara wenye...
sera ya majimbo inayopigiwa chapuo na cdm.ni mwendelezo wa fikra za chifu maleale wa kilimanjaro.wakati wa uhuru chifu huyu hakupenda kuona tunapata uhuru tukiwa kama tanganyika bali alipenda...
Karibia asilimia 60 za pesa za ruzuku za shule huishia mifukoni mwa wakuu wa shule kwa kushirikiana na ma afisa elimu wa wilaya. Watu hawa ni hatari kwa maendeleo ya vishule hasa vya kata...
Kesho ni siku ya Muungano(wastage of time and money).
Lini kundi ndani ya CCM hasa Wabunge waseme enough is enough kama akina Njelu Kasaka na G55?
Kama wewe mbunge wa CCM unawakilisha watu poor...
Meya wa Arusha Gaudens Lyimo na baadhi ya madiwa wa CCM wameuza eneo la wazi lililoko Arusha keep left ya Kijenge kwa Greeks Club.
Kiwanja hicho namba 101, kiwanja cha wazi kilichopo kata ya...
Nimeshuhudia mijadara mingi humu JF inayo ligusa Taifa kwa wizi na ubadhirifu aidha ufisadi au uzembe wa serikali pro CCM wengi wamekuwa hawatii neno lolote na kuikimbia sasa wanaisaidiaje...
Ndugu zangu watanzania mnakumbuka kuwa aliyekuwa waziri wa mali asili na utalii bwana MAIGE alilazimishwa na wabunge wa CCM kujiudhuru baada ya kubainika na kashfa ya kusafirisha twiga 2 nje ya...
Akizungumza na MTANZANIA kwa njia ya simu jana, Mwenyekiti wa CHADEMA Wilaya ya Arusha, Efatha Nanyaro, pamoja na kuzungumzia maandalizi ya uchaguzi huo, aliituhumu NEC na Serikali...
Kwanza poleni na kazi za kila siku.
Naomba niwashirikishe katika hili Jambo la vurugu huko Mikoa ya kusini tuwape pole wadai haki kwa hatua walizofikia kwa kutosikilizwa kero zao.
Wakati...
CCM na Serikali yake yakili udhaifu wake wa kushindwa kuwasilisha bajeti yenye tija kwa wananchi na kutekeleza pendekezo la kiongozi wa upinani bungeni la kuahirisha mjadala mpaka serikali itakapo...
Mbunge wa Mwibara kamanda Kangi Rugora amekuja na namna mpya ya kujenga uzalendo kwa wabunge baada ya kuja na picha ya kuchora inayoonyesha picha ya wanawake wakitafuta maji kwa tabu. Na amemuomba...
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilbroad Slaa amewataka wabunge wa chama hicho kuendelea na msimamo wao wa kutetea haki za wananchi. Alisema viongozi wa chama hicho...
Wana JF
Nimepata taarifa zilizonistua usiku huu. Mwandishi wa habari ambaye ni Mhariri kwenye moja ya magazeti yanayomilikiwa na kampuni ya Business Times aitwaye Mnaku Mbani Lukanga amepigwa...
Kuna mtazamo kwa Dar-es-salaam wanaogopa mabadiliko na wanaogopa upinzani. Pia wengi wamekwenda mbali na kusema hata wasomi wengi Dar-es-salaam hawakubaliani na upinzani. Kuna viashiria vingi...
Waheshimiwa Wabunge wetu wapendwa ninawasalimuni nyote na poleni na majukumu yenu hasa kipindi hiki cha Bajeti inayoendelea sasa.
Moja ya majukumu yenu kama Wabunge ni kutunga sheria za nchi...
Ndugu zanguni
Jana kama wote tulivyoona viongozi wa chadema waliamua kama kawaida yao kwenda kufanya mkutano Iringa mkutano ambao toka Msigwa achukue ubunge ni kama wa hamsini sasa. Sikatai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.